$ 0 0 Mtayarishaji na Mwongozaji mahiri wa filamu hapa Bongo,Adam Kuambiana anaagwa leo katika Viwanja vya Leaders jijini Dar na baadae kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni. Mungu ailaze pema roho yake.Amen