Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

MWENGE KWEUPEEEEEE

$
0
0
Huu ndo muonekano wa kituo cha Daladala Mwenge-Dar es Salaam leo baada ya kufungwa rasmi na kituo kipya nyuma ya Jengo la TCRA kuanza kutumika. Hata hivyo kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu kituo hicho kipya. Tunaomba viongozi husika watupie macho.
Mwenge Daladala zinapita na kuwaacha abiria walodhani zitasimama. Macho kodoooooo...Tusiwaze kupindisha sheria.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

Latest Images

Trending Articles