Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

WASANII DIAMOND PLATNUMZ NA ALI KIBA WATOA MSAADA GSM FOUNDATION

$
0
0
Mie binafsi nawapongeza wasanii wa muziki, Diamond Platnumz na AliKiba kwa kutoa msaada wa tsh 41milioni kwa ‘GSM Foundation’ ili kusaidia jitihada za taasisi hiyo za upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

Latest Images

Trending Articles