KWA USAFIRI WA UHAKIKA DAR/DODOMA/DAR
Mbunge wa Gairo Mhe. Ahmed Shabiby ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa wa mabasi ya Shabiby, anatarajia kuanzisha safari mpya ya mabasi yake ya kisasa kutoka Singida/Dar/Singida. Hali hii imewatia hofu...
View ArticleMSAADA KUTOKA KWA MHE.RIDHIWANI KIKWETE-MBUNGE CHALINZE
Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akijaribu moja ya vitanda 267 na magodoro yake alivyotoa kama msaada kwa shule 7 (Chalinze, Moreto,Kiwangwa,Mandera, Talawamda,Lugoba, Kikaro) katika Jimbo lake la...
View ArticleGERMANY VS BRAZIL USIKU HUU
Usikose kuangalia mechi kali ya Nusu Fainali kati ya Ujerumani na Brazili usiku huuMazoezi kabla ya mechi
View ArticleUJERUMANI YAINGIA FAINALI KWA KISHINDO
Timu ya Ujerumani imeingia Fainali za kombe la Dunia kwa kishindo baada ya kuichapa Timu ya Brazili kunakofanyikia mashindano hayo magoli 7 kwa 1. Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika Ujerumani...
View ArticleUZALENDO UMEWASHINDA
Baada ya kipigo cha goli 7-1 hapo jana usiku dhidi ya Wajerumani, mashabiki wa Brazili wameshindwa kujizuia na kukuta hasira zao zinawapeleka kufanya hayaBendera ya Taifa Brazil na Basi vikichomwa moto
View ArticleUZURI WA TANGAZO, LISOMEKE
Sawa ni Ubao wa matangazo lakini una hadhi inayostahili hata kuvutia watu wajongee ili kusoma kilichoandikwa?
View ArticleNETHERLANDS VS ARGENTINA LEO
Mpaka sasa ni dakika tisini zimeisha hakuna alieona lango la mwenzake. Zinaongezwa dakika 3001:35am Dakika 30 za nyongeza zimeisha ikiwa ni bila kwa bila. Timu zote zinajiandaa kupiga penati kupata...
View ArticleARGENTINA WAINGIA FAINALI KWA MIKWAJU YA PENATI 4-2
Golikipa Sergio Romero wa Argentina akiokoa moja ya penati zilizopelekea ushindi wao dhidi ya UholanziSasa Argentina itapambana na Ujerumani siku ya Jumamosi saa 4usiku huko Maraccana-Brazili katika...
View ArticleMAJANGA YA MOTO MASOKONI:SOKO LA JAMATINI DODOMA LATEKETEA KWA MOTO
Mwonekano wa soko hilo baada ya moto uloteketeza usiku wa kuamkia leo
View ArticleWAZIRI MKUU AWA MFANO UINGEREZA: ASAFIRI KWA TRENI READING-LONDON
Mheshimiwa Mizengo Pinda, Waziri Mkuu wa Tanzania, yupo ziarani nchini Uingereza. Alifanikiwa kukutana na watanzania waishio Reading Berkshire nchini Uingereza. Baada ya hapo akachukua usafiri wa treni...
View ArticleKARIBUNI KAOLE-BAGAMOYO
Leo kunafanyika mahafali ya pili chuoni hapo. Chuo hiki ndicho iliyokuwa shule kongwe ya Sekodari ya Kaole na ina hitoria ya wapiganaji wa FRELIMO Msumbiji kuweka makazi yao hapo wakati wa harakati za...
View ArticleMANZESE DAR-ES-SALAAM KUTOKA ANGANI
Suala zima zima la mipango miji ni tatizo hasa katika utoaji wa huduma za kijamii. Mamlaka husika zitupie macho
View ArticleMAAJABU YA MUNGU
Huyu nikuku asiye na manyoya aliyefumwa na Kamera ya gsengo blog akijitafutia chakula katika Kijiji cha Busisi Wilayani Sengerema huko Mwanza.
View ArticleMSHINDI WATATU KOMBE LA DUNIA LEO
Timu za Brazili na Uholanzi,leo zinaingia uwanjani kutafuta mshindi wa tatu wa Kombe la Dunia 2014. Mechi hiyo itaanza saa 5usiku Afrika Mashariki katika uwanja uitwao Estadio do Maracana,huko Rio de...
View ArticleBRAZILI WASHINDWA VIBAYA 3-0
Timu ya taifa ya Brazili imeshindwa kuchukua nafasi ya Tatu kombe la Dunia baada yakuchapwa na Uholanzi 3-0. Kwamchezo wa leo wameendelea kuwahuzunisha mashabiki baada ya kuchapwa 7-1 na Ujerumani...
View Article