MHE RAIS MAGUFULI NA MKEWE WAMJULIA HALI MWADHAMA POLYCARP
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam katika Taasisi ya Moyo ya...
View ArticleMACHINJIO YA VINGUNGUTI YATATULIWA KERO ZAKE
Mawaziri kutoka kulia ni Naibu waziri wa Afya Mh:Kigwangallah,Wa pili kutoka kulia ni Mbunge wa Jimbo la Segerea Mh:Bonah,Watatu kutoka kulia ni Mh:Simbachawene na wa mwisho kushoto ni Mh:Mwigulu...
View ArticleMAJANGILI WA WANYAMA PORI KUKIONA CHA MOTO
Mmoja wa Majenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania walioteuliwa kushika nyadhifa nyeti serikalini,Meja Jenerali Gaudence Milanzi,ameanza kazi kwa kutoa tahadhari kwa majangili akisema atatumia mbinu...
View ArticleKATUNI YA LEO
Masoud Kipanya tena, anawasilisha tatizo lililopo katika wakati uliopo. Ni sahihi, si kila jambo ni la kumsubiri Magufuli. Ni wajibu wa jamii. Na mwalimu huyu naye ni sehemu ya jamii. Je, ni sababu...
View ArticleJUMBA LA MCHUNGAJI LWAKATARE KATIKA MSUKOSUKO WA ALAMA X
Mchungaji a Kanisa la Assemblies of God,Mikocheni, Dr Getrude Lwakatare amepinga nyumba yake kubomolewa ikiwa ni siku chache baada ya wizara ya maliasili na utalii kupitia wakala wa misitu Tanzania...
View ArticleSERIKALI YAINUNULIA MUHIMBILI MASHINE YA CT SCAN MPYA
Naibu Waziri wa Afya , maendeleo ya jamii, jinsia , wazee na watoto Dokta Khamis Kigwangwala leo ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili -MNH- na kuagiza uongozi wa hospitali hiyo kuboresha huduma za...
View ArticleSHULE 6 KUANZA KUFUNDISHA SOMO LA LUGHA YA KICHINA
WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imeteua shule sita za sekondari nchini kuingia katika mpango maalumu wa wanafunzi wake kufundishwa somo la lugha ya Kichina kuanzia mwaka huu.Kutokana na...
View ArticleVAENI HELMET MKIWA SAFARINI KWA PIKIPIKI
Agizo hili linawahusu watu wote bila kujalisha...
View ArticleTAFSIRI YA SHERIA NA KUKOSA SHUKRANI
Wakati muda wa `mapumziko’ ya bomoabomoa ukimalizika leo huku jaribio la kupata zuio la muda likiwa limewekwa kiporo, wakazi wa Jangwani ambako nyumba zitaanza kubomolewa leo, jana waliweka mabango...
View ArticleMHE RAIS OBAMA ATOA MACHOZI AKITETEA WANANCHI WAKE
Rais Barack Obama alitokwa na machozi jana alipokuwa akitetea kufanyiwa mabadiliko kwa sheria za udhibiti wa silaha nchini Marekani ili kupunguza idadi ya watu wanaoshambuliwa na kuuawa kwa Risasi...
View ArticleMASANJA AJIBU KWA VERSE YA WIMBO WA DIAMOND
🎶NA MAGAZETI NYUMBANI 🎼KWA KUKUZA HABARI SI UNAJUAGAAA....🎶 🎶UTASIKIA TAFARANI 🎶MASANJA TRA HAJALIPAGAAAA🎼 🎶NA VILE NILIVYO MNYONGE 🎶TABIA YA KUWAJIBU SINAGAAAAAA🎶 .
View ArticleSERA YA ELIMU BURE YAANZA KUTEKELEZWA RASMI:FEDHA ZATUMWA MASHULENI
KIASI cha shilingi bilioni 18.77 zimetumwa kwenye akaunti za shule za Msingi na Sekondari za halmashauri zote hapa nchini kwaajili ya wanafunzi kusoma bure.Hayo yamesemwa na Waziri wa fedha na Mipango,...
View ArticleMMBWANA SAMATTA MCHEZAJI BORA ANAYECHEZEA AFRIKA
Mwanasoka raia wa Tanzania anayechezea TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mmbwana Ally Samatta amenyakua tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika anachezea ndani ya bara la Afrika, wakati...
View ArticlePICHA RASMI YA MHE.RAIS DKT.JOHN MAGUFULI
IDARA ya Habari Maelezo imetangaza rasmi upatikanaji wa picha ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli kwa matumizi ya maofisini.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
View Article