TAYARI UCHAFU HADHARANI DARAJA JIPYA LA NYERERE KIGAMBONI
Hata wiki haijapita tangu daraja hili lifunguliwe rasmi, tayari wananchi wameanza kuchafua mazingira kwa kuweka viroba vya uchafu kwenye nguzo za taa. Tubadilike jamani.
View ArticleWABUNI MBINU ZA KUSAFIRISHA BANGI NA MIRUNGI LAKINI WAKAMATIKA
Polisi Mkoani Kilimanjaro imewanasa watu walokuwa na shehena ya Mirungi na misokoto ya Bangi wakiisafirisha kutoka nchi jirani ya Kenya kuingiza Arusha Tanzania. Tazama walivyojipack utadhani mabomu ya...
View ArticleMAMA MARIA NYERERE ATEMBELEA DARAJA LA NYERERE - KIGAMBONI
Mama Maria Nyerere akifuatana na mwanae Mhe.Makongoro Nyerere na Msaidizi wake wametembelea Daraja la Nyerere ambapo ameonyesha furaha yake kuwa Ndoto ya Baba wa Taifa imetimia- Licha ya mvua kubwa...
View ArticleMHE. ZITTO KABWE: "CCM NI ILE ILE....."
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka na kusema Chama Cha Mapinduzi CCM ni kile kile cha siku zote, Zitto Kabwe amesema hayo baada ya kusoma vitabu vya Bajeti...
View ArticleMAFURIKO YAITIKISHA WILAYA YA MOSHI-KILIMANJARO
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza jambo na wataalamu alioongozana nao katika uwanja mdogo wa ndege wa Moshi kwa ajili ya kuruka na ndege ndo ya Shirika la Hifadhi za taifa (TANAPA)...
View ArticleHARAKATI ZA MAENDELEO YA MIUNDOMBINU
Haijapata kutokea, nchi yetu ndani ya siku saba, kuwa na hakika ya kuanza kwa miradi mikubwa miwili yenye kuvuka mipaka ya nchi yetu; mradi wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, na wa reli ya...
View ArticleWABUNGE WASIOCHANGIA BUNGENI KUBANWA
Kiti cha Spika wa Bunge kimesema ipo haja ya kufanya marekebisho ya Sheria pamoja na Kanuni ili kila mbunge apate posho kulingana na kazi aliyofanya bungeni, badala ya utaratibu wa sasa wa kuangalia...
View ArticleJINSI YA KUUKARIBISHA NA KUUKUMBATIA UMASKINI
🏽1. Kamwe usiamke mapema, endelea kulala nakujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma.2. Kamwe usipange jinsi ya kutumia pesa zako,wewe zitumie tu pale unapozipata. Na zikiishakaa chini na jifikirie...
View ArticleMVUA HIZI HAZITAKI KUTUMBULIWA: HAMENI MABONDENI
Msemo unaojiri mjini kwa sasa ni kuwa Mvua nazo zinawajibika kunyesha kikamilifu kwa kuogopa kutumbuliwa. Ni muhimu kwa wale wanaoishi sehemu hatarishi kutafakari mara mbili maana japo ni hali ya...
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI AFUNGA KIKAO KAZI CHA MAKAMANDA WA POLISI NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamanda wa Polisi wa mikoa mara baada ya kufungua kikao kazi chao katika ukumbi wa Dodoma Convention...
View ArticleJIJINI DAR HAKA NAKO NI "KAJIPU UPELE"
Kufuatia uchafuzi mkubwa wa Mazingira Jijini Dar na penginepo nchini, katika kipindi hiki cha mvua hali ya kitaro kuziba imekuwa kitu cha kawaida. Tunaomba hatua zichukuliwe kutumbua haka kajipu upele
View ArticleRAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein kabla ya kuanza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI...
View ArticleWIMBO WA CHURA WA SNURA WAFUNGIWA
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Zawadi Msalla (katikati) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapopichani) wakati akitoa...
View Article