Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

VIDEO:DR.SLAA AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI SERENA HOTEL-DAR LEO

$
0
0
Akiri hakuwa LIKIZO kama wengine walivyokuwa wanasema.



Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA amesema amestaafu siasa hana chama, atabakia kuwa Mtanzania wa kawaida, mwaminifu kwa Taifa lake.
Amesema hataki kumtetea yeyote. Amekuja kuweka ukweli wazi (HABARI ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE)

VIDEO ZAIDI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

Trending Articles