DKT MAGUFULI APIGA KAMPENI LEO MJINI TUNDUMA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma waliofurika kwa wingi katika uwanja wa shule ya msingi...
View ArticleMONDULI NAO WAIKUBALI CCM
Ama kweli HAPA KAZI TUMhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Monduli Jimbo la Mhe.Edward LowassaHata wana CHADEMA walikuwepo
View ArticleWANA-CHADEMA WATOKELEZEA
Busu la Rais Mtarajiwa, kicheko cha First Lady Mtarajiwa. Utawatakaaaa.....
View ArticleMAMA ONGEA NA MWANAO...............
Wasanii wa Filamu nchini Wema Sepetu na Steven Nyerere wakimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika Hoteli ya Hyatt Kempinski jijini Dar es Salaam kuzindua kampeni ya 'Mama Ongea na...
View ArticleRAIS KIKWETE AAGWA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA NCHINI LEO
Vyombo vya Ulinzi Tanzania, leo vinamuaga rasmi Rais Kikwete (Amiri Jeshi Mkuu)
View ArticleVIDEO:DR.SLAA AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI SERENA HOTEL-DAR LEO
Akiri hakuwa LIKIZO kama wengine walivyokuwa wanasema.Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA amesema amestaafu siasa hana chama, atabakia kuwa Mtanzania wa kawaida, mwaminifu kwa Taifa lake.Amesema hataki...
View ArticleUZALENDO KWA CHAMA CHAKE NA MGOMBEA WAKE
Mmoja wa wana CCM akifuta vumbi kwenye picha ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.Mhe Mgombea John Magufuli yupo Mbinga mkoani Ruvuma kunadi sera...
View Article