WAGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA NA CCM WASAINI HATI YA KIAPO MAHAKAMA KUU
Mgombea urais CCM Mhe John Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe.Samia Suluhu Hassan wakitia saini Hati ya KiapoNao wagombea wa UKAWA kupitia CHADEMA mhe. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza mhe. Juma Haji Duni...
View ArticleWAHUSIKA WALIOPO KWENYE GARI HILI WATAFUTWA ILI KUJIELEZA
Kinasadikiwa ni Kikosi cha Ulinzi cha Chama cha CHADEMA wakati mgombea wao Mhe. Edward Lowassa alipokuwa Jijini Mbeya kujitambulisha na kutafuta wadhamini
View ArticlePENYE NIA, PANA NJIA
Maisha ni vile unavyotaka wewe ili mradi huvunji sheria.Usikubali chochote kikukwamisheKama unataka kuishi ghorofani, inawezekana. Fanya hivyo!
View ArticleUKIONA VYAELEA VIMEUNDWA
Jamani kujiremba nako kwahitaji moyo. Usione wanapita njiani wamependeza, wanasota kweli kweli.
View ArticleHAWATABIRIKI! (Jana vile......, Leo hivi....kesho vipi?....)
Jana ilikuwa hiviLeo ipo hiviKesho je........?
View ArticleAKISI YA ILANI YA UCHAGUZI CCM 2015
Hatimaye Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeipua Ilani yake ya Uchaguzi kwa mwaka 2015-2020, ikitaja mambo makuu manne ya kushughulkikia katika miaka mitano ijayo, ambayo ni kupambana na umaskini, ajira kwa...
View ArticleWAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE NAE AONDOKA CCM
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na UKAWA japo hajasema anajiunga na chama gani katika UKAWA, leo mchana.Picha nyingine za tukio hilo
View ArticleTASWIRA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI CCM JANGWANI DAR LEO
Mhe Magufuli na Mhe Samia wagombea Urais CCM wakiingia Jangwani leoPicha nyingine taswira ya siku
View ArticleKAULI TATA ZA MHE.WAZIRI MSTAAFU FREDRICK SUMAYE
Asemavyo Mhe.Fredrick Sumaye alipoondoka CCM (VIDEO)Japo amehama CCM alakini alitamka wazi kuwa CCM ikimchagua mla rushwa atahama CCM akimlenga mhe. Edward Lowassa
View ArticleCCM ILIVYOFUNIKA JANA JANGWANI DAR
Msikilize Mhe.Magufuli akiongea na watanzania Jangwani DarPicha nyingine za tukio hilo
View ArticleUZINDUZI WA KAMPENI CCM WAWEKA HISTORIA
Umati wa WanaCCM na wananchi wengine waliohudhuria uzinduzi huo hapo jana maeneo ya Jangwani Jijini Dar
View ArticleCCM YAANZA MBIO ZA KAMPENI MIKOANI KATAVI NA KILIMANJARO
mhe John Magufuli yupo Mkoani KataviWananchi wa Mishamo wakimsikiliza Dk.John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM mkoani Katavi.Mhe Samia Suluhu yupo Mkoani KilimanjaroMgombea Mwenza wa...
View ArticleKIJEMBE....
Nileteeni picha ya... akiwa ameshika MIC tatu huku akiongea, HAPA KAZI TUUUUUU.
View ArticleVIDEO: DKT MAGUFULI ALIVYOITEKA SUMBAWANGA
Wananchi wakinyanyua mikono kuonyesha ishara ya kumkubali Mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM mhe/Dkt.Magufuli
View Article