Mhe.TUNDU LISSU AMJIBU DR.SLAA
Sikiliza sauti ya Mhe.Tundu Lissu akihojiwaKatibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa, jana alitangaza rasmi kuachana na siasa baada ya kutofautiana na chama chake katika kumpokea Edward Lowassa na...
View ArticleDKT MAGUFULI AKIUNGANA NA WATU WAKE KTK SHUGHULI ZAO
Mgombea Urais wa CCM akicheza pamoja na wanamuziki wa kundi la YAMOTO BAND akiwa katika moja ya mikutano ya kampeni zake huko Mikoa ya Kusini mwa Tanzania.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt....
View ArticleMAGUFULI: EPUKENI MATAPELI WA KISIASA. AHITIMISHA ZIARA KUSINI MWA TANZANIA
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli, amewataka Watanzania kuwa makini wasije kudanganywa na matapeli wa kisiasa watakaokuja na ahadi za uongo.Akizungumza...
View ArticleHABARI PICHA: UKAWA KATIKA UBORA WAO KWENYE KAMPENI
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.Mfuasi wa UKAWA akishangiliaSehemu ya Wananchi wa Mji wa Sumbawanga, waliofurika...
View ArticleMAKUBALIANO UJENZI WA DARAJA LA SALENDER
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali na wajumbe kutoka Benki ya Exim ya Korea baada ya kusaini hati ya mkataba wa makubaliano ya mkopo wa...
View ArticleMAMBO YA CHADEMA HUKO KATAVI
MgombeaUrais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWAkupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. EdwardLowassa, akihutubia kwenye Mkutano huo, uliofanyika kwenye Uwanja...
View ArticleTUSIJISAHAU
Kwasasa mawazo ya wengi yamejikita kwenye uchaguzi mkuu 2015. Wengine wanafika hata kuweka uhasama usio na hoja juu ya wagombea na vyama vyao.Ila tunapaswa kujua kuna maisha baada ya uchaguzi ambapo...
View ArticleMAMBO YA KAMPENI
Ukitazama vizuri mabango hayo mawili unapata ujumbe gani? Mie napita tu.......Wakoloni walipokuwa hapa nchini walikuwa wakibebwa hivi, tukaona si sahihi tukapingana nao na wakaondoka, Machifu wetu pia...
View Article"MAMA ONGEA NA MWANAO" ZIARANI
Wasanii waliopo katika kampeni ya "Mama Ongea na Mwanao" ipigie kura CCM wakiwa kwenye mkutano huo huko Ukonga Dar ambapo Mgombea Mweza CCM mhe Samia Suluhu alikuwa akipiga kampeni.Nae Mgombea Urais...
View ArticleKINGWENDU MBIONI KUELEKEA KUITWA "MHESHIMIWA"
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu” wakati wa mkutano wa kampenzi uliofanyika katika uwanja wa Shule ya...
View ArticleHEINEKEN WAZINDUA CHUPA MPYA YA 500ML
Wateja wakiudumiwa vinywaji baridi vya Heineken mpya ya 500ml
View ArticleVIDEO: MHE MBATIA,MHE.SUMAYE,MHE MAGUFULI NA MWL.NYERERE
Unapotoa hoja usisahau kwamba kuna umuhimu wa kuwa na hoja maana watu wanajua mengi. Tusipotoshe Umma
View Article