Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

"MAMA ONGEA NA MWANAO" ZIARANI

$
0
0
Wasanii waliopo katika kampeni ya "Mama Ongea na Mwanao" ipigie kura CCM wakiwa kwenye mkutano huo huko Ukonga Dar ambapo Mgombea Mweza CCM mhe Samia Suluhu alikuwa akipiga kampeni.
Nae Mgombea Urais CCM Mhe.Magufuli yupo huko Kilombero Morogoro ambapo pamoja na kuhutubia wananchi, alikagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja kubwa mto Kilombero.
kisha akafanya ukaguzi wa ujenzi wa Daraja jipya

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

Trending Articles