$ 0 0 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kigoma mjiji waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Kawawa, Ujiji mkoani Kigoma