DKT MAGUFULI AWA CHANGAMOTO MIKOA 11 ALOPIGA KAMPENI KUTOKANA NA YAFUATAYO
KAMPENI za mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, zimemalizika katika mikoa 11 jana, kwa kumalizia katika Mkoa wa Simiyu, huku ajenda kadhaa na ubora wake wa kutawala jukwaa,...
View ArticleDKT MAGUFULI AANZA KUONYESHA KUTOFAUTIANA WAZIWAZI NA MAFISADI. AMKAUSHIA...
Katika kile ambacho wachunguzi wa mambo yakisiasa wamekiita tukio la kimapinduzi namwanzo wa mabadiliko mapya ndani ya CCM,Mgombea wa Urais kwa ticket ya CCM Dr. JohnMagufuliamefanya kile ambacho Rais...
View ArticleSERIKALI YAJENGA CHUO CHA UNADHIMU NA UKAMANDA HUKO DULUTI ARUSHA
Muonekano wa baadhi ya majengo ya Chuo cha Unadhimu na ukamandaRais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akitoa ushauri wakati akikagua majengo ya Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu kilichopo eneo la Duluti nje kidogo...
View ArticleCCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE ZANZIBAR
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Ali Mohamed Shein jana alizindua rasmi kampeni zake, akisema hana hofu ya kushindwa na kwamba akirejea madarakani atahakikisha anayalinda kwa nguvu zake...
View ArticleMHE. RAIS KIKWETE AFANYA MABADILIKO WAKUU WA MIKOA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wawili wapya wa mikoa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wakuu wa Mikoa ambao...
View ArticleDARAJA LA KIKWETE MTO MALAGARASI KIGOMA
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Baadhi ya watu wamekuwa wakiikashfu serikali ya CCM kwamba hakuna lolote ililofanya katika kupunguza makali ya maisha kwa wananchi. Je Daraja hili sio kitu kwa...
View ArticleJENGO PACHA LA PSPF TOWERS LAZINDULIWA JIJI DAR ES SALAAM
majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam yaliyozindulia Septemba 16, 2015
View ArticleMAGUFULI - KIGOMA, LOWASSA-CHATO GEITA
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kigoma mjiji waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Kawawa, Ujiji mkoani Kigoma
View ArticleDKT.MAGUFULI AKIWA KIGOMA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za...
View ArticleGEITA YAMPOKEA VIZURI MGOMBEA MWENZA UKAWA
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita jana . Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni...
View ArticleWANANCHI WAASWA KUTUNZA MIUNDOMBINU YA DART
Muonekano wa kituo cha kimaraNa Ally Daud- MAELEZO.Wafanyakazi wa Mradi wa Mabasi ya endayo haraka Dar es salaam (DART ),Wakalawa Barabara(TANROADS) pamoja na Umoja wa wamiliki wa Daladala Dar es...
View ArticleDKT MAGUFULI AHANI MSIBA WA MWALIMU WAKE WA SHULE YA MSINGI(maelezo,picha na...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimfariji mama Paskazia Mufuruki mjane wa Marehemu mwalimu Colner Pastor wakati alipohani msiba huo...
View ArticleUTUNDU WA WATOTO
Umemuacha nyumbani dakika chache unarudi na kumkuta kabandua laptop hivi...!!!UTAMFANYAJE...!!!!?
View ArticleKUJITAMBUA MUHIMU
unapokuwa uanshabikia kitu fulani na kupewa bango inabidi usome maneno hayo kabla hujaonyesha watu vinginevyo unakuwa haueleweki. Hii ilitokea Bagamoyo.
View Article