BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO WA RAIS WA...
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC siku ya Alhamisi...
View ArticleMHE.LOWASSA APATA MAPOKEZI MAKUBWA BUKOBA
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi Bukoba waliofika kwenye Mkutano wa Kampeni, kusikiliza sera zake,...
View ArticleHUYU NDIO "TIFFAH" MTOTO WA DIAMOND NA ZARI
Baada ya kutimiza siku 40, hatimae sura ya mtoto wa Diamond yawekwa hadharani.Diamond asema........Huyu Ndio Binti yangu...Latiffah Binti Nasibu Abdul almaaruf kama @princess_tiffah ...Kila mmoja wetu...
View ArticleDKT MAFUGULI KATIKA UBORA WAKE NYUMBANI CHATO
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Chato ambapo maelfu ya watu walijitokeza kwa wingi kwenye mkutanoLeo na Mama Magufuli (First Lady Mtarajiwa) alikuwepo, wa pili...
View ArticleMABASI 138 YA MRADI WA DART(MABASI YA MWENDO KASI) YAWASILI BANDARI YA DAR ES...
Sehemu ya mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yaliyowasili katika Bandari ya Dar es Salaam, kwa ajili ya kuanza kutoa huduma ya usafiri katika kipindi cha mpito kwenye miundombino ya...
View ArticleVIDEO: FIRST LADY MTARAJIWA KATIKA UBORA WAKE
Mama Janeth Magufuli akisalimia na mgombea Ubunge CCM Jimbo la Chato Dkt Meedad Kalemani mara baada ya kuwasalimia wananchi wa Chato na kuwaomba ridhaa wamchague mhe.John Magufuli kuwa rais wa awamu ya...
View ArticleCCM WAZIDI KUNG'ARA: DKT.MAGUFULI-BUKOBA,MAMA SAMIA - TANGA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Gymkana mjini Bukoba leo akiomba...
View ArticleLOWASSA AZIDI KUTAMBA DAR
Lowassa jana aliendelea na kampeni zake katika majimbo matatu ya Mkoa wa Dar es Salaam ambayo ni Ukonga, Kigamboni na Mbagala.
View ArticleMAGUFULI: "NIPO FIT"
mhe.Dkt Magufuli akipiga push ups akiwa jukwaani kuonyesha kuwa yupo fit kwa kazi ya Urais anayoiomba. Hili limettokea huko Ngara Mkoani Kagera akiwa katika siku yake ya mwisho ya kampeni Mkoani humo
View ArticleHAPA KAZI TU
Alipokuwa Geita hii Leo, ili kumsikiliza na kumwona vizuri Dkt. Magufuli ilibidi wapande kwenye miti na paa za nyumba. Kweli kazi ipo.
View ArticleCCM YAPATA PIGO LINDI. UKAWA YAITEKA
Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye...
View ArticleVIDEO: HEBU SIKILIZA VIZURI ,MANENO YA WIMBO HUU WA MCHAKA MCHAKA
Amiri Jeshi Mkuu mtarajiwa unapokubali kuhamasisha watu kwa wimbo huu, sisi wananchi tusio na vyama tunaokusikiliza tuamini lipi kwa baadae?
View Article