MHE LOWASSA APIGA KAMPENI JIMBO LA MHE MBOWE,HAI-KILIMANJARO
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokelewa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
View ArticleHABARI NJEMA KWA WASAFIRI WA FASTJET KWENDA JOHANNESBURG
Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kulia), akizungumza katika semina ya siku moja ya waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, iliyohusu kuongezeka kwa safari za ndege za...
View ArticleMAGUFULI AIKABILI DODOMA VILIVYO
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wananchi waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUTUBIA UMOJA WA MATAIFA HUKO USA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Tanzania katika kikao cha 70 cha Baraza kuu la Umoja wa mataifa katika ukumbi wa Makao makuu ya Umoja huo jijini New York Marekani
View ArticleHAYA NDIO MABADILIKO/MAENDELEO
Watengeneza teknologia ya sumsung's safety truck dereva ambaye gari lake litakua nyuma ya lori atakuwa na uwezo wa kuona kila kitu mbele kinachokuja.Tekinologia hiyo imeletwa kutokana na sababu ya...
View ArticleHILI NALO :"HAWAJAFANYA LOLOTE!"
VIDEO: Lowassa alivyosema akiwa CCMMarais Uhuru Kenyatta (Kenya) na Jakaya Kikwete (Tanzania) leo wamezindua rasmi ujenzi wa Barabara ya lami kutoka Arusha hadi Mpaka wa Holili (Mkoani Kilimanjaro) kwa...
View ArticleUTEUZI: WAKUU WAPYA 13 WA WILAYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba.Wakuu wa wilaya 13 walioteuliwa ni Shaaban...
View ArticleMAGUFULI AFANYA KAMPENI ARUSHA. APATA MAPOKEZI MAKUBWA
Mhe Magufuli akimkabidhi ilani ya uchaguzi mhe Phillemon Mollel Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Arusha MjiniMhe Magufuli akiwahutubia wakati wa Arusha na Vitongoji vyake katika Uwanja wa Sheikh Amri...
View ArticleMHE. MREMA WA TLP AMKUBALI MAGUFULI
Leo katika mkutano wa CCM katika jimbo la vunjo, akihutubia nyomi ya watu, mgombea urais wa CCM John Pombe Magufuli alimwombea kura mgombea wa TLP, Augustino Mrema kwa wakazi wa Vunjo kwamba wamchague...
View ArticleMZEE KINGUNGE NGOMBARE MWIRU AWANADI UKAWA MKUTANO WA KAMPENI ARUSHA
Mwanasiasa Mkongwe Nchini, Mzee Kingunge Ngomale Mwiru, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUNUKIWA UKAZI WA KUDUMU WA HESHIMA MAPUTO MSUMBIJI
Mhe rais Kikwete akikabidhiwa funguo na Meya wa Jiji la Maputo Mstahiki David Simango kama iishara ya kumtunuku ukazi wa kudumu wa heshima wa jiji la Maputo.Akivishwa vazi maalumu la heshima la Jiji la...
View Article