KAYUMBA JUMA MSHINDI BSS 2015
Kayumba Juma ameibuka mshindi katika shindano la Bongo Star Search kwa mwaka 2015 na kujinyakulia kitita cha shilingi milioni 50
View ArticleUKIONA VYAELEA VIMEUNDWA
Kujiremba kwingine jamani kaazi kweli kweliNa style hii nayo kiboko
View ArticleDKT. MAGUFULI ASIFIA KUGUNDULIWA KWA GESI BAGAMOYO
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kugundulika kwa gesi ya Bagamoyo mkoani Pwani itasaidia kuimarisha uchumi na ujenzi wa viwanda nchini.Hayo aliyasema jana wilayani...
View ArticleKAMPENI 2015 KAAAAZI KWELI KWELI
YAJUE MAAJABU YA TANZANIA NA WATU WAKE.👇👇👇 1. WARIOBA anataka katiba yake ya wananchi kwa 100%. CCM inapinga rasimu ya Warioba. Warioba anaipigia kampen CCM.2. MREMA anampigia kampeni Magufuli...
View ArticleMHE.LOWASSA AONYESHA KUKUBALIKA VIZURI TARIME
Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, alipowasili mjini Tarime kwa Mkutano wa...
View ArticleAFRIMMA 2015: HONGERENI VANESSA MDEE NA DIAMOND PLATNUMZ
Mwanamuziki Msanii Bora wa Kike Afrika MasharikiDiamond kanyakua tuzo Tatu
View ArticleKIWANDA KIKUBWA CHA SARUJI CHA DANGOTE HUKO MTWARA CHAZINDULIWA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote na ujumbe wake kutoka Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika...
View ArticleHOSPITALI KUBWA YA TIBA NA UTAFITI YAFUNGULIWA DODOMA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la Msingi katika jengo jipya la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern...
View ArticleMRADI WA GESI KINYEREZI WAZINDULIWA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe na kufunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua rasmi mtambo wa kufua umeme kutokana na Gesi Asilia huko Kinyerezi jijini Dar es Salaam.Mradi huo...
View ArticleBAADHI YA VIPAUMBELE VYA CCM KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015
Dk. Magufuli akiwahutubia wakati wa Pemba katika uwanja wa gombani ya kale huko Pemba.Wagombea(Dk.Shein na Dk.Magufuli) wakiwa katika tabasamu la furahaKijani na Manjano kila kona
View ArticleMWENYEKITI MWENZA UKAWA NDG.EMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA
Mwenyekiti wa NLD, ambaye ni mwenyekiti mwenza wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, Dkt. Emmanuel Makaidi amefariki jana majira mchana katika hospitali ya Nangao mkoani Lindi.Taarifa za uhakika...
View Article