KAULI YA DK.MAGUFULI
"Sihitaji utajiri, siutafuti, sina haja nao. Miaka yote nimekuwa muadilifu na kumtanguliza Mungu mbele katika kuwatumikia Watanzania. Nitabaki kuwa hivyo kama Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleMRADI WA BARABARA ZA JUU (FLYOVER) TAZARA WATILIWA SAINI
Taswira ya Tazara FlyoverWaziri wa Ujenzi Dk,John Magufuli jana ametia saini na mkandarasi wa Japani tayari kwa kuanza ujenzi wa barabara ya juu katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam.Dkt,Magufuli...
View ArticleMSIBA: MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE NA RUBANI WAKE WAFARIKI KATIKA AJALI...
Chopa ya CCM iliyokuwa imembeba mhe.Deo Filikunjombe kutokea Dar kwenda Ludewa, jana jioni ilianguka katika Hifadhi ya Selous na leo Meya Jerry Silaa ameandika kwa masikitiko kuwa Baba yake ambaye ndio...
View ArticleVIDEO: RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO
Picha kutoka katika eneo la uzinduzi wa Ujenzi wa bandari huko Mbegani Bagamoyo
View ArticleHUZUNI YATAWALA KUWAAGA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE
Mgombea wa Uraisi CCMM Dk.magufuli akimpa pole mke wa Marehemu bibi Sarah Filikunjombe katika hospitali ya Lugalomke wa marehemu akionekana mwenye huzuni baada ya kupokea taarifa za kifo cha...
View ArticleMAMA SAMIA SULUHU AFANYA KAMPENI SUMBAWANGA
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni aliofanya leo katika Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jimbo la Sumbawanga mjini mkoani Rukwa
View ArticleWIKI YA MWISHO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Ila je wagombea wetu mnatambua kuwa mpiga kura wako atavaa hivi kuelekea kituo cha kupiga kura maana ndo maisha yake ya kila siku?????
View ArticleRAIS KIKWETE AKABIDHI MAGARI 399 KWA JESHI LA POLISI NCHINI
Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi. Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe akimkaribisha Rais...
View ArticleANGALISHO SIKU YA KUPIGA KURA
Hairuhusiwi kuvaa sare ya Chama unachokishabikia/kukikubali siku ya kupiga kura
View ArticleKUELEKEA UCHAGUZI MKUU: BAA NA CLUB ZA USIKU ZAPEWA MSIMAMO
Serikali jijini Dar es Salaam imeagiza baa zote zinazouza pombe mpaka asubuhi kusitisha shughuli hiyo mkesha wa siku ya uchaguzi ili kuimarisha usalama Jumapili ijayo.Aidha, imesisitiza kwamba kila...
View Article