CCM YAFUNGA KAMPENI JANGWANI
Ikiwa imesalia siku moja kabla ya uchaguzi,jana CCM ilifanya mkutano mkubwa wa kapeni Jangwani Dar na leo hivi Dk magufuli atakuwa Kirumba MwanzaMke wa Rais mama Salma Kikwete akiteta jambo na mke wa...
View ArticleMGOMBEA MWENYE HOFU YA MUNGU
\HISTORIA ya maisha yake tangu alipozaliwa hadi sasa, John Pombe Magufuli ameishi katika matakwa ya dini ya Kikrosto.Mbali na kuwa mkristo, mkatoliki, anamheshimu kila mtu. Mwenye imani kama yake,...
View ArticleUCHAGUZI MKUU 2015: WAGOMBEA URAIS WAPIGA KURA
Mhe. LowassaMhe Dk.SheinMhe.Dk Magufulimhe. Maalim Seif
View ArticleMATOKEO YA UCHAGUZI YAANZA KUTANGAZWA
Jimbo la Sumbawanga Mjini: Aeshi Hilaly wa CCM, ameshinda kwa jumla ya kura 41763, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Ikuwo Malila wa Chadema, aliyepata kura 36183Joram Hongoli wa Chama cha Mapinduzi...
View ArticleMATOKEO RASMI URAIS (CCM NA CHADEMA) KWA MAJIMBO YALIYO TAYARI KUWAKILISHA
1. URAIS Jimbo TEMEKECCM: 106,612CHADEMA: 124,2742. URAIS Jimbo RUFIJICCM - 21,714CHADEMA - 18,3083. URAIS Jimbo KIBITICCM: 21,142CHADEMA: 18,6294. URAIS Jimbo MBARALICCM: 55,933CHADEMA: 45,3745. URAIS...
View ArticleHONGERA RAIS MTEULE DKT.JOHN MAGUFULI
Tume ya uchaguzi ya Tanzania Bara (NEC) kupitia Mwenyekiti wake Jaji Damian Lubuva imemtangaza Rasmi mgombea Urais wa CCM, Dr John Pombe Magufuli kuwa mshindi halali wa kiti cha Urais katika uchaguzi...
View ArticleBAADA YA MATOKEO YA URAIS KUTANGAZWA, SAFARI YA KWENDA.......IMEANZA
Hii ni kama alivyojitabiria yeye mwenyewe
View ArticleUZALENDO WA KWELI
Mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea salamu za pongezi kutoka kwa mgombea Urais Mwanamke Pekee kwa tiketi ya ACT Wazlendo Mama...
View ArticleMHE.DK. MAGUFULI AANZA KUMWAGA CHECHE BAADA YA KUKABIDHIWA HATI YA USHINDI
Rais Mteule Dk John Magufuli ameamua kufunguka kuhusu ugumu aliokabiliana nao wakati wa mchakato wa kampeni akieleza kuwa uchaguzi wa mwaka huu umekuwa na changamoto kubwa kutokana na hujuma...
View ArticleZANZIBAR HALI TETE
WAKATI HUO HUO,....................Jeshi la Polisi Zanzibar kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi (JWTZ), limefanikiwa kuteguwa bomu lilitegwa eneo la Mkunazini karibu na kituo cha polisi mjini...
View Article