$ 0 0 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni aliofanya leo katika Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jimbo la Sumbawanga mjini mkoani Rukwa