Yaani hawa wezi wamepokea kipigo kwa kweli mpaka sura zimefanana. Hii sasa kali.
Angalisho: Pamoja na kwamba weyi au ujangili ni uhalifu lakini raia tujitahidi tusichukue sheria mkononi mfano kuwapiga na hata wakati mwingine kupelekea kifo. Vipo vyombo vya Dola tuviachie kazi hiyo.