WAZIRI MKUU MHE:MAJALIWA KASSIM AHUDHURIA IBADA ZA KUMWINGIZA KAZINI ASKOFU...
Mhe Waziri Mkuu akitoa hotuba fupi katika Hafla hiyoMhe Waziri Mkuu akipokea yawadi ya picha kutoka kwa Askofu Fredrick ShooWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili...
View Article(UDAKU) WAMETOKELEZA: MAMA,MWALI, MJUKUU
Mama Diamond akiwa na mwali wake Zari (The Boss Lady) na mjukuu wake Tiffah
View ArticleHII NDIO INAITWA " PARTNER IN CRIME"
Yaani hawa wezi wamepokea kipigo kwa kweli mpaka sura zimefanana. Hii sasa kali. Angalisho: Pamoja na kwamba weyi au ujangili ni uhalifu lakini raia tujitahidi tusichukue sheria mkononi mfano kuwapiga...
View ArticleMHE:JAKAYA KIKWETE ATEULIWA KUSIMAMIA USULUHISHI WA MGOGORO WA LIBYA
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa na Mheshimiwa Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (kulia) kuwa Mwakilishi wa Umoja wa Afrika katika mchakato wa...
View ArticleNYOTA YA MBWANA SAMATTA YAANZA KUNG'AA HUKO BELGIUM
Mbwana Samatta, Baada ya kufunga bao la kwanza jana akiwa na timu yake mpya ya Genk Belgium ambapo alifunga magoli 3
View ArticleUDAKU: MAPENZI ZA BONGO
Nchini India kuna mtu katoa FIGO yake kwa milioni 20. Hapa Tanzania,kuna mtu anatoa moyo wake wote kwa mtu, tena bure na bado anaombwa HELA YA SALOON (Kusuka). "This is murder"
View ArticleMHE.FREEMAN MBOWE NA MHZE.ZITTO KABWE KULIKONI
Ushirikiano wa mahasimu wa kisiasa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe, umegusa hisia za watanzania wengi na kuacha maswali iwapo urafiki huo utakuwa wa kudumu au ni wa muda mfupi
View ArticleHILI AU LILE?
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amemshauri Mhe.Rais John Magufuli kuacha kujifungia Ikulu, badala yake apande ndege kwenda nje ya nchi ili akapate uzoefu wa masuala mbalimbali ya Uongozi....
View ArticleMKOA MPYA 1 NA WILAYA MPYA 6 KUANZISHWA NCHINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe George Simachawene akiongea na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) kuhusu kuanzishwa kwa Mkoa mpya wa Songwe na Wilaya...
View ArticleHUDUMA YA UMEME VIJIJINI "REA"
Tunaipongeya serikali kwa juhudi kubwa kuhakikisha Nishati ya Umeme kupitia mpango wa REA inawafikia wananchi wengi hasa wa Vijijini. Ila mie kwa muonekano wa huduma hizi zinavyotolewa napata maswali....
View ArticleMHE.HALIMA MDEE NA MHE.MWAKYEMBE WALIVYOZOZANA BUNGENI
(Soundtrack kwa hisani za Mpekuzi Blog)Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe na Mbunge wa jimbo la Kawe, Halima Mdee (Chadema), jana waliingia kwenye mvutano mkali huku wakitunishiana...
View ArticleMAMA JANETH MAGUFULI ATEMBELEA KITUO CHA WAZEE NA WALEMAVU KIGAMBONI
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigamboni, jijini Dar es salaam alikotembelea...
View ArticleTIGO WAJA NA "WHATSAPP BURE"
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari na wageni waalikwa mbalimbali wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo uliofanyika jana Hoteli ya Hyatt Regency...
View ArticleMHE.RAIS MAGUFULI AHUTUBIA SIKU YA SHERIA DUNIANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Mahakimu na Majaji wa Mahakama ya Tanzania kufanya kazi kwa kuzingatia weledi wa taaluma ya Sheria katika kushughulikia...
View ArticleMHE MBOWE ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI KIVULI
Kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe ametangaza baraza lake la mawaziri kivuli leo bungeni mjini Dodoma.Mbowe, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chadema ametaja...
View Article