$ 0 0 Ushirikiano wa mahasimu wa kisiasa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe, umegusa hisia za watanzania wengi na kuacha maswali iwapo urafiki huo utakuwa wa kudumu au ni wa muda mfupi