AHADI YA MHE:RAIS MAGUFULI KWA JAJI MKUU NA MAHAKAMA YAKAMILIKA
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango (katikati) akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa Mahakama Hussein Katanga (kushoto) mfano wa hundi wakati wa makabidhiano ya fedha hizo mbele ya waandishi wa habari...
View ArticleMKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI AMJULIA HALI MUFTI MKUU HOSPITALINI
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimjulia hali Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry aliyelazwa kwa matibabu katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya...
View ArticleSHERIA MSUMENO: MAWAZIRI 2 WA AWAMU YA RAIS MKAPA WAANZA KIFUNGO CHA...
Mawaziri wa Serikali ya AWAMU ya Tatu Mramba na Yona walipowasili leo Hospitali ya Palestine kuanza usafi wa mazingira kama part ya adhabu yao ya kifungo cha nje leoYona, Mramba wakabidhiwa vifaa vya...
View ArticleINAKUWAJE HASIRA ZENU MWELEKEZE KWA WANYAMA?
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvui Mh.Mwigulu Nchemba sambamba na Mbunge wa jimbo la Mvomero Mh Sadick Murad (mwenye shati ya drafti),ikiwemo na Kamati ya Ulinzi na Usalama sambamba na wananchi...
View ArticleTIMU YA TAIFA YA DRC YAPEWA ZAWADI NONO BAADA YA USHINDI
Timu ya Taifa ya DRC baada ya ushindi wa Kombe la Afrika yaliyofanyika Kigali/Rwanda waliporudi nyumbani kwao wakapokelewa na Rais wao Mhe.Josepph Kabila na wakakabidhiwa zawadi ya Prado kwa kila...
View ArticleKIZAAZAA CHA MV:MAGOGONI HAPO JANA
Hali ya taharuki ilijitokeya jana baada ya Kivuko cha Mv.Magogoni kupata hitilafu kikiwa majini.Hata hivyo hakikusababisha ajali. Na abiria wote walitoka salama.Ila nakuwekea hii picha nyingine hapa...
View ArticleBOMOA BOMOA YAHAMIA SINZA
Huku Sinza ni vilio na taharuki. Serikali inaweka X kwenye maeneo ya wazi ambayo watu wamejenga nyumba za makazi au Biashara kwa kuvamia bila vibali
View ArticleVALENTINE IMESHAPITA SASA TURUDI KAZINI KUIJENGA NCHI NA SISI WENYEWE
Wafanyabiashara hawa wameonyesha kupenda sana kazi yao hasa kwa utanashati. Biashara yahitaji mazingira mazuri ya mfanyabiashara ili kuvutia wanunuzi. Pigeni kazi kina kaka.
View ArticleMHE:RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MABALOZI § NA WATUMISHI WENGINE SERIKALINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa mabalozi watatu katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.Rais Magufuli...
View ArticleAGIZO LA MHE.RAIS MAGUFULI YAANZA KUTEKELEZWA MUHIMBILI
AGIZO la Rais John Magufuli la kuibadilisha jengo la maofisa wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto lililopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, limetelekezwa baada ya jana maofisa...
View ArticleWAZIRI WA MFANO MHE: UMMY MWALIMU
Baada ya Mhe.Rais Magufuli kuagiya jengo moja la Utawala katika Hospitali ya Muhimbili ligeuzwe wodi ya Kinamama Wazazi, Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,watoto,Wazee na Walemavu Mhe. Ummy Mwalimu...
View ArticleUPANUZI WA BARABARA YA MWENGE - MOROCCO WAENDELEA VIZURI
Sehemu ya Barabara ya Morocco kwenda Mwenge ikiwa katika hatua ya kutolewa tabaka ya udongo wa chini na kuwekwa tabaka ya udongo mpya kama inavyooenekana katika picha leo jijini Dar es Salaam .Kipande...
View Article