Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089
↧

WAZIRI WA MFANO MHE: UMMY MWALIMU

$
0
0
Baada ya Mhe.Rais Magufuli kuagiya jengo moja la Utawala katika Hospitali ya Muhimbili ligeuzwe wodi ya Kinamama Wazazi, Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,watoto,Wazee na Walemavu Mhe. Ummy Mwalimu amekuwa wa MFANO alipojiunga na watumishi wenzie kuhamisha na kufanya usafi katika Jengo hili. Kweli utumishi mzuri ni ule wa kuwa Mfano.
Mhe Waziri Ummy Mwalimu akishiriki kufagia ndani ya Jengo hilo
Mhe.Waziri Ummy Mwalimu akisaidiana na mtumishi mwingine kwenda kumwaga takataka
Tayari wagonjwa wameanza kutumia jengo hilo
↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

Latest Images

Trending Articles