$ 0 0 Wafanyabiashara hawa wameonyesha kupenda sana kazi yao hasa kwa utanashati. Biashara yahitaji mazingira mazuri ya mfanyabiashara ili kuvutia wanunuzi. Pigeni kazi kina kaka.