$ 0 0 Tanzania ina zaidi ya Makabila 120 katika mikoa yake. Ila Tumshkuru Mwl.Nyerere kwa kutuunganisha Watanzania kwa kutumia na kueneza lugha ya kiswahili. Sasa twaishi kwa amani na maelewano