MV BUKOBA-TUTAWAKUMBUKA DAIMA
Tanzania tutakumbuka daima ajali mbaya ya Meli ya MV.Bukoba iliyotokea 21.05.1996 kilomita chache kutoka Bandari ya Mwanza. Meli hiyo ilikuwa inatoka Bukoba kuelekea Mwanza. Watu wengi walipoteza...
View ArticleSAFARI KUELEKEA ELIMU BORA KATIKA MAZINGIRA MAZURI BADO NDEFU
Hawa ni wanafunzi wa shule mojawapo Mkoani Singida ambayo wanajifunza katika darasa lililoezuliwa paa kama wanavyoonekanaKwa mtindo huu, hii katuni inaleta taswira(katuni kwa hisani ya Nathan Mpangala)
View ArticleKAZI NI KAZI BORA MKONO KINYWANI
Katika nchi ya wajisiriamali kama yetu, suala hili sio geni kwani kuwajibika katika kutafuta maisha bora ni kwa kila njia ili mradi ni halali
View ArticleKUTOKUJIAMINI
Wakati mwingine tunakuwa watumwa wa mali zetu wenyewe na hata kuwa wachoyo kimatumizi na hivyo kujikuta tunachelewesha maendeleo. Unapokuwa nacho tumia ipasavyo japo kwa uangalifu lakini sio kuwa...
View ArticleRAIS MTEULE WA AFRIKA KUSINI MHE.JACOB ZUMA KUAPISHWA LEO
Mhe.Rais Jakaya Kikwete aliwasili nchini Afrika Kusini kuhudhuria sherehe za kuapihwa kwa Raisi Jacob Zuma.Rais mteule wa Afrika Kusini Jacob Zuma anaeapishwa leo kuwa rais kwa kipindi kingine cha...
View ArticleREAL MADRID MABINGWA UEFA 2014
Timu ya Real Madrid imefanikiwa kuchukua Kombe la UEFA 2014 usiku huu baada ya kuwacha Atletico Madrid kwa Mabao 4 - 1 huko Lisbon,Portugal.Bado la mwisho ambalo lilifungwa katika kipindi cha dakika 3o...
View ArticleNAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
Hawa sijui wanaelekea kanisani kweli au!? Na hii ndo staili mpya ya Mshikaki katika Bodaboda. Hatari kweli kweli.
View ArticleKUMEKUCHA TUKAWAJIBIKE
Kwa wafugaji wa kuku tuwahi kwenye mabanda ya kuku wetuChukua usafiri wowote uliopo na kama hamna tembea kwa miguuKwa wakulima mashambani, mungu katupatia ardhi nzuri yenye rutuba twendeni...
View ArticleWASICHANA ASILIA HUKO WILAYANI HANANG MKOANI MANYARA
Tudumishe mila zetu hasa zile zilizo sahihi na zisizo na upotoshaji wowote kiuchumi na kijamii.
View ArticleTUDUMISHE MILA 1
Akina mama na wasichana wa huko Babati Mkoani Manyara wakiwa katika mavazi yao asilia
View ArticleDAR ES SALAAM KABLA YA MWAKA 1900 NA ILIVYO SASA
Na hapa chini ni Dar ilivyo miaka ya karibuni. Bado vikwangua anga vingi vinaendelea kujengwa
View ArticleWABUNGE WETU WATOKA NJE TENA
Ukumbi wetu wa Bunge umekuwa sehemu ya kususiwa kila mara. Leo tena katika vikao vya Bunge la Bajeti baadi ya wabunje wa Kambi ya Upinzani wasusia mjadala wa Uwasilisjwaji wa Bajeti ya Wizara ya...
View ArticleTUJIKUMBUSHE MAKABILA YA WATANZANIA
Tanzania ina zaidi ya Makabila 120 katika mikoa yake. Ila Tumshkuru Mwl.Nyerere kwa kutuunganisha Watanzania kwa kutumia na kueneza lugha ya kiswahili. Sasa twaishi kwa amani na maelewano
View ArticleFANYENI KAZI BILA KUCHOKA
Pamoja na kwamba weekend imefika, bado ni muda wa kupambana na maisha maana kila siku mpya maisha yanazidi kuwa magumu hasa kwa wenye kipato kidogo
View ArticleNYOTA NJAMA HUONEKANA ASUBUHI
Watoto hawa japo wanaanza katika mazingira magumu lakini wakikuza vipaji vyao watakuwa wasanii wazuri sana baadae. Tuwape moyo na panapowezekana tuwasaidie kufanikisha ndoto yao.
View Article