MWENGE KWEUPEEEEEE
Huu ndo muonekano wa kituo cha Daladala Mwenge-Dar es Salaam leo baada ya kufungwa rasmi na kituo kipya nyuma ya Jengo la TCRA kuanza kutumika. Hata hivyo kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu kituo...
View ArticleSIKU NJEMA, MANDHARI NZURI
Mwanza, Tanzania yawakaribisha kwenye mandhari nzuri kingo za Ziwa Viktoria
View ArticleMWENGE YASAFISHWA
Baada ya kituo kufungwa rasmi jana, eneo lililokuwa kituo cha daladala Mwenge kimepigwa greda kama inavyoonekana hapaHata kilichokuwa choo cha kulipia kimeondolewa
View ArticleUKAPERA BYE BYE...HONGERA MHE. MBUNGE JOSHUA NASSARI
Hapa Mheshimiwa Mbunge Joshua Nassari (CHADEMA) akipewa zawadi ya tshirt na bibi harusi mtarajiwa wakati wa sherehe za kupewa baraka na matashi mema kwa siku ya ndoa yao Jumamosi 7Juni(Picha kwa hisani...
View ArticleKWAHERI NGULI WA VICHEKESHO NCHINI-MZEE SMALL
Said Ngamba maarufu kama Mzee Small ambaye anatarajiwa kuzikwa kesho katika Makaburi ya Segerea Dar es SalaamWaombolezaji wakiwa wenye huzuni nyumbani kwa Marehemu Mzee Small.
View ArticleMUHIMU KUFUNGUA MACHO
Huo moto ukizimika kwa kuzimwa hivyo basi Ndege ya Malaysian Airlines itapatikana
View ArticleVIONGOZI MPO WAPI?????
Wakati sehemu nyingi za nchi wanalalamika upungufu wa vyumba vya madarasa katika shule mbalimbali, hawa wenzetu sehemu fulani mikoa ya Kaskazini wamegeuza darasa kuwa Stoo ya kuni. Je hii ni sahihi?
View ArticleKUMEKUCHA TUKAWAJIBIKE
Ila kwa mwenzetu huyu pamoja na kwamba yupo njiani katika kuwajibika, bado kalala tena isivyo salama kabisa. Hapo inawezekana kabisa akaamkia hospitali. Pamoja na uwajibikaji wetu wa kusaka maisha, pia...
View ArticleVIPAJI TUNAVYO, TUVITUMIE TU VIZURI
Kijana huyu Elvis Munisi (Leollo) ameendesha baiskeli kutoka Chile kupitia nchi 47 hadi Kilimanjaro Tanzania zaidi ya kilomita 28,000 kuhamasisha kuchangia mfuko wa kusomesha wanafunzi kupitia mpango...
View ArticleCHAMA CHA WAALIMU TANZANIA MKOANI MBEYA CHAWEKA HISTORIA KWA JENGO LAKO KUWA...
Jengo la Chama cha Walimu Tanzania Mkoani Mbeya yalipozinduliwa matumizi ya lift ya kwanza mkoani humoMlango wa lift hiyo
View ArticleKWA WAPENZI WA MPRIA WA MIGUU
Elekezea Brazili kuanzia kesho tafadhali.Usikose kuangalia mechi ya Ufunguzi wa Kombe la Dunia hapo kesho. Tazama ratiba hapa chiniHapa chini ni ratiba ya makundi zaidi
View ArticleWADAU HII IMEKAAJE?
Kawaida kazi ya Jeshi la Polisi ni USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO. Sasa tukio la leo huko Mkoani Pwani linaleta utata. Iweje sasa Raia wageuke na kupoteza uhai wa yule ambae amekuwa katika jopo la walinda...
View ArticleMAJANGA SOKO LA KARUME ILALA
MOTO MKUBWA UMETEKETEZA MASOMO YA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO SOKO LA KARUME DAR.
View ArticleMATOKEO MECHI YA UFUNGUZI FIFA WORLD CUP
Mpira umemalizika muda si mrefu kati ya Brazil na Croatia huko Sao Paulo Brazili na matokeo ni kama hivi. Hongereni Brazili kwa kuanza vema
View Article