$ 0 0 Watoto hawa japo wanaanza katika mazingira magumu lakini wakikuza vipaji vyao watakuwa wasanii wazuri sana baadae. Tuwape moyo na panapowezekana tuwasaidie kufanikisha ndoto yao.