$ 0 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.