Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Browsing all 2089 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PATA TABASAMU TOKA KWA MASANJA MKANDAMIZAJI

Ukisalimiana na mkuu wa nchi lazima ucheki pembeni kidogo, maana anaweza kuona kachunusi akadhani jipu. Kauliza nguo bei gani, nikasema tumegaiwa kanisani. Maana angeweza kusema hela umetoa wapi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEI YA MAFUTA YASHUKA KIDOGO

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi amesema ‘kuanzia tarehe 2 Machi bei za mafuta zimebadilika ikilinganishwa na toleo lililopita la Februari 2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUDAN KUSINI YAKUBALIWA KUJIUNGA NA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Wakuu wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wameikubalia Sudan Kusini kuwa mwanachama wa jumuiya hiyo ya kikanda. Mkutano wa kilele wa Jumuiya hiyo jijini Arusha leo Jumatano (Machi 2)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIWE LA MSINGI BARABARA YA KISASA YA ARUSHA HOLILI(TANYANIA) hadi TAVETA VOI...

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenyi wa Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 234.2

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE.SAMIA SULUHU (MAKAMU WA RAIS) NA MHE:UMMY MWALIMU (WAZIRI) WAFANYA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati waziri Mwalimu alipofika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPANA CHEZEA: ONLY IN AFRICA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASEMAVYO BAADHI YA MASHABIKI WA ARSENAL

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUZO: HONGERENI ELIZABETH MICHAEL "LULU" na SINGLE MTAMBALIKE "RICHIE"

Lulu kanyakua Tuzo ya Filamu Bora (Mapenzi ya Mungu) Afrika Mashariki.Richie kanyakua Tuzo ya Filamu Bora ya Kiswahili (Kitendawili) Afrika,

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE RAIS MAGUFULI AMTEUA KATIBU MKUU KIONGOZI MPYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Eng. John William Herbert Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Kijazi anachukua nafasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"HAPPY WOMEN DAY" KWA WANAWAKE WOTE:

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA RAIS WA VIETNAM MHE. TRUNG TAN SANG NCHINI

Mhe Rais Magufuli akimkaribisha Mhe.Trung Tan Sang, Rais wa Vietnam mara baada ya kuwasili viwanja vya Ikulu Jijini DarMhe Rais wa Vietnam akikagua Gwaride la HeshimaRais wa VietinamTrung Tan Sang...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKATE TAMAA

Anaitwa Mussa ni mmoja kati ya vijana walioamua kujiajiri kwa kazi ya kuokota makopo na kuyauza. Amemaliza shahada ya biashara lakini amekaa nyumbani bila ajira kwa miaka 3 na hana mtaji ndipo akaamua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE RAIS MAGUFULI ATEMBELEA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongeza na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI WA BURE KUTOKA KWA MASANJA MKANDAMIZAJI

Laki tano, Mshahara wa Ma-Teller wa Benki hapa mjini Laki Tano, Bei ya TECNO PHANTOM mpya kabisa kwa kujishau Snapchat na Istagram Laki Tano, Bajeti ya Mafuta ya SUBARU mwezi Mzima.... Laki Tano ,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI: MILA ZETU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAWAPONGEZA LULU NA RICHIE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imefarijaka kwa ushindi wa wasanii wa filamu nchini walioshinda tuzo za filamu Afrika za mwaka 2016(African Magic Viewers Choice Award) ziliyofanyika jijini...

View Article


WANAUME WA AFRIKA; JE NI KWELI?

WANAUME WA AFRIKA.!1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARATASI ZA UCHAGUZI ZANZIBAR 2016 ZAWASILI

Karatasi za kupigia kura kwa ajili ya marudio ya uchaguzi wa Zanzibar unaotarajiwa kufanyika Machi 20, ziliwasili jana mchana visiwani hapa.Karatasi hizo zilipokewa na watendaji mbalimbali wa Tume ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI NA MABADILIKO WAKUU WA MIKOA

Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi ambaye pia ni Katibu Mkuu TAMISEMI, Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe akitangaza Majina ya Wakuu wapya wa Mikoa kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John...

View Article
Browsing all 2089 articles
Browse latest View live