DR:MACHINJI ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA
Dr. Vicent Machinji ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kupitishwa na Baraza Kuu la Chadema, katika kikao chake kilichokaa jijini Mwanza. Katika Kikao...
View ArticleRC MPYA WA DAR ES SALAAM MHE.PAUL MAKONDA AZINDUA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI...
Kwa kubariki mchango wa Mhe.Makonda kama Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, GSM Foundation iliamua kufadhili ujenzi wa Jengo la kitengo cha upasuaji kwa kina mama wajawazito na wagonjwa wa dharura katika...
View ArticleVIJANA WAASWA KUFANYA KAZI NA SI KUCHEZA POOL NYAKATI ZA KAZI
Hayo Rais Magufuli ameyasema alipokuwa akiwaapisha Wakuu wa MikoaRais John Magufuli leo amewaapisha wakuu wa mikoa wapya aliowateua hivi karibuni na katika hotuba yake amewataka wakuu wa mikoa hao...
View ArticleWEMA SEPETU ALIVYOBADILIKA KATIKA MIAKA 10
Wema Sepetu wa mwaka 2006 alipokuwa Miss TanzaniaWema Sepetu alivyo sasa. Hapa ni alipokuwa na wasanii wenzake walipomtembelea Makamu wa Rais, mhe Samia Suluhu. Je una ushauri wowote kwake?
View ArticleYANAYOJIRI MASHULENI; KUNA NINI?
Mwalimu akiwa na lundo la Madaftari ya wanafunzi kwa ajili ya kusahihisha. Ni changamoto maana kuona tu yalivyo mengi. walimu wana changamoto nyingi sana. Panapowezekana wadau na wote wanaohusika...
View ArticleMRADI WA KUFUA UMEME WA KINYEREZI 2 JIJINI DAR WAWEKEWA JIWE LA MSINGI
Mhe.Rais Magufuli akiwa na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria kuzindua ujenzi wa Kituo hicho hivi leo
View Article"HOME SWEET HOME": BALOZI JUMA MWAPACHU ARUDI CCM
Baada ya kuihama CCM mwaka jana kabla ya uchaguzi kujiunga na upinzani, leo hii Balozi Juma Mwapachu amerejea tena CCM na kukabidhiwa Kadi na mwenyekiti wa CCM Kata ya Mikocheni.Aliyewahi kuwa Katibu...
View ArticleUDAKU: DALADALA YACHOMEKEA GARI LA MKUU WA MKOA DAR
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe.Paul Makonda akishuka kwenye gari lake wakati alipoingia Ofisini kwake kama Mkuu wa Mkoa leoKatika mizunguko ya kikazi ya hapa na pale Mkuu wa Mkoa akajikuta gari...
View ArticleSHINDANO LA MISS TANZANIA LARUDISHWA TENA
Miss Tanzania 1967 Teresa Shayo ( wa kwanza kushoto) akipozi na wenzake wa nchi za Afrika wakiwa London katika kinyang'anyiro cha Miss WorldKwa wale wapenzi wa Shindano la kumsaka mrembo Miss Tanzania...
View ArticleMHE:RAIS MAGUFULI AWAFANYIA 'SUPRISE' KITUO CHA MATANGAZO CHA CLOUDS KWA...
Rais John Magufuli na Mkewe, Mama Janeth leo amekuwa Rais wa kwanza Tanzania kupiga simu ya surprise moja kwa moja kwenye kituo cha runinga kama mtazamaji wa kawaida akichangia yaliyokuwa yanajadiliwa...
View ArticleSERIKALI YAIPA HOSPITALI YA CHALINZE GARI JIPYA LA WAGONJWA
Katibu Mkuu wa Ikulu Peter Ilomo akimkabidhi funguo za gari jipya la wagonjwa Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete lililotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa...
View ArticleBAADHI YA WANANCHI WASIVYOTHAMINI WANYAMA PORI: WAFUNGWA MIAKA 60 KWA KUKUTWA...
Mahakama ya Mkoa wa Manyara imewahukumu watu watatu kifungo cha miaka 60 jela kwa kosa la kukutwa na nyara za Serikali, ikiwamo ngozi ya chui na nyoka aina ya chatu.Washtakiwa hao ni Mathayo Mchono,...
View ArticleNSSF,TBC, NA RAHCO WAPATA WAKURUGENZI WAPYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa watendaji wakuu wa Taasisi tatu za serikali kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo.KWANZA, Rais Dkt. John Pombe Magufuli...
View Article"NAONA AIBU KUISHI KWENYE JIJI LENYE HALI HII".... RC MAKONDA
RC Mpya wa Mkoa wa Dar es Sallam Mhe.Paul Makonda leo amekutana na Wenyeviti wa Mitaa na Maafisa Watendaji wa Mkoa huo kujadiliana nao mambo mbalimbali huku akisema anaona aibu kuishi kwenye Jiji lenye...
View Article