Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

VIDEO: ZIARA YA KUSHTUKIZIA YA RAIS MAGUFULI UWANJA WA NDEGE WA NYERERE DAR

$
0
0

Hatimaye mashine iliyotembelewa na Rais JPM jana na kukutwa ikiwa mbovu au haifanyi kazi kwa ufanisi sasa inapiga mzigo kama kawaida na ikiwa chini ya uangalizi wa Maafisa Usalama wa Mamalaka ya Viwanja vya Ndege,Polisi na Afisa wa TRA

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

Trending Articles