MTOTO MWANAHABARI GETRUDE CLEMENT AKARIBISHWA BUNGENI DODOMA
Getrude Clement mwenye umri wa miaka 16 ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu anayesoma shule ya Sekondari Mnarani iliyopo jijini Mwanza, leo amepata nafasi ya kufika bungeni Dodoma baada ya kupewa...
View ArticleATLETICO MADRID YATINGA FAINALI UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Jana usiku Atletico Madrid Iliwabwaga Bayern Munich ya Ujerumani na hiyo kutinga Fainali UEFA 2016
View ArticleMWANAFUNZI GENTRUDE CLEMENT KUSOMESHWA NA TAASISI KIDATO CHA TANO NA SITA
Kwa kutambua umuhimu wa elimu kwa kizazi cha miaka ijayo, Taasisi ya Misaada ya Kijamii ya Hamisi Kigwangalla iliyoanzishwa na Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt....
View ArticleKIKWETE: "WANAFUNZI CHAGUENI KOZI ZENYE AJIRA KIRAHISI"
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, amewasaa wanafunzi kuchagua kozi zitakazowapatia ajira wanapo hitimu masomo yao.Akizungumza katika mahafali ya 10 ya kidato cha sita katika Shule ya...
View ArticleDKT ASHA ROSE MIGIRO BALOZI MPYA WA TANZANIA UINGEREZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.Dkt. Asha-Rose Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi...
View ArticleNAULI RASMI ZA MABASI YAENDAYO KASI
NAULI ZA DART ZIMEJALI ZAIDI VIPATO VYA WALALA HOIZimetangazwa Rasmi 09/05/20161. Wanafunzi 200/=2. Feeder 400/=3. Trunk 650/=4. Trunk/Feeder 800/=TAFSIRI.1. WANAFUNZI INAELEWEKA.2. TRUNK Sh. 650/= Ni...
View ArticleYANGA MABINGWA BARA
Waziri na Kilimo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar...
View ArticleVIDEO: ZIARA YA KUSHTUKIZIA YA RAIS MAGUFULI UWANJA WA NDEGE WA NYERERE DAR
Hatimaye mashine iliyotembelewa na Rais JPM jana na kukutwa ikiwa mbovu au haifanyi kazi kwa ufanisi sasa inapiga mzigo kama kawaida na ikiwa chini ya uangalizi wa Maafisa Usalama wa Mamalaka ya...
View ArticleMRADI WA MABASI YAENDAYO KASI DAR BAADHI YA MASHINE YA KUTA TIKETI MBOVU TAYARI
Baadhi ya Abiria wakisubiri kununua tiketi ambapo wameambiwa mashine hizo kwa leo zina hitilafu maeneo ya Posta ya Zamani
View ArticleKIJIPU UPELE BARABARA YA MABASI YAENDAYO KASI
Barabara hii ilitengw akwa ajili ya haya mabasi ya Mradi wa Mabasi yaendayo kasi, lakini wananchi wengine bado wamekuwa wakaidi kutii amri ya kutotumia barabara hii kama wanavyoonekana katika picha
View ArticleZITTO KABWE: TV NA REDIO TANZANIA ZIPIGE NYIMBO ZA WATANZANIA KWA ASILIMIA 80
May 13 2016 ilikuwa ni siku ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 .Hotuba hiyo iliyosomwa na Waziri, Nape...
View ArticleBAADHI YA WAKUU WA MIKOA WAFANYA UTALII WA NDANI HIFADHI YA TARANGIRE
Wakuu wa Mikoa wakiwemo wakuu wa wilaya waliowakilisha mikoa yao wakiwa katika ofisi za Shirika za Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA) muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kimafunzo katika Hifadhi ya...
View ArticleNDEGE YA MISRI (EGYPT AIR) YAPOTEA IKIWA NA ABIRIA 59
Ndege moja ya shirika la ndege la Misri la EgyptAir, iliyokuwa ikitoka mji mkuu wa Ufaransa Paris hadi Cairo, imepotea kutoka kwenye mitambo ya rada.Maafisa wanaosimamia safari za ndege wanasema kuwa...
View Article