ALICHOKISEMA MHE ZITTO KABWE BAADA YA WAZIRI KITWANGA KUSIMAMISHWA
Habari kubwa iliyoteka vyombo mbalimbali vya habari jana usiku ni habari ya Rais Magufuli Kumfuta kazi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Charles KitwangaMbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa chama cha...
View ArticleUNAPORUDI NYUMBANI UMELEWA, JIANDAE KWA HILI
Mwanaume mwenye familia unatoka nyumbani ukidai huna hela , huachi hata mia kisha jioni unarudi nyumbani umelewa chakari., Jiandae kukutana na hili mezani,. Wanawake wa sasa hawataki mchezo. Familia...
View ArticleSURA NNE ZA MHE.RAIS MAGUFULI
JAMII ya Watanzania imetakiwa kujifunza sura za Rais John Magufuli, kutokana na hatua yake ya kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga.Akizungumza na gazeti hili...
View ArticleRAIS WA FIFA AWAPONGEZA YANGA (YOUNG AFRICANS SC)
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ameipongeza timu ya soka Young Africans ya Dar es Salaam, kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2015/16.Young Africans...
View ArticleMHE ZITTO KABWE ATAUKACHA UKAPERA MUDA SI MREFU
Picha ikimuonyesha Mhe Zitto Kabwe na Mchumba ake ambae alimvisha pete hivi karibuni
View ArticleRC WA DAR MHE PAUL MAKONDA AGOMEWA MKONO WA POLE NA BINTI WA MAREHEMU WILSON...
Anna Kabwe, binti wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amegoma kumpa mkondo Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es SalaamTukio hilo la aina yake lilimfika Makonda aliposhiriki...
View ArticleYANAYOJIRI: TUZIDI KUMWOMBEA MEMA RAIS WETU MHE.MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’Mwandishi wetu, Amani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’, huenda ndiye mtu anayeongoza kwa...
View ArticleDADA WA BILIONEA MSUYA AUAWA KINYAMA KIGAMBONI - DAR
Dada wa marehemu Erasto Msuya aliyetambulika kwa jina la Anathe Msuya ambaye alikuwa ni Mtumishi wa Wizara ya Fedha, ameuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana Dar es Salaam....
View ArticleMARUFUKU KUVAA VIMINI NA KUTEMBEA NA WATOTO WADOGO USIKU KIJIJI SANYA HOE-...
Moja ya matukio ambayo yanamake headlines katika Wilayani Siha Kilimanjaro ni pamoja na adhabu zinazotolewa kwa wale wanaovunja sheria, kingine ni kwamba kijiji cha Sanya Hoye kimepitisha adhabu ya...
View ArticleTAMASHA LA NYAMA CHOMA VIWANJA VYA LEADERS DAR
Mtaalamu wa kuchoma nyama kutoka mkoani Arusha, Jackson Isaya akionesha ufundi wa kuchoma nyama katika Tamasha la Nyama choma lililofanyika ,viwanja vya Learders Dar es Salaam jana
View Article