REAL MADRID MABINGWA CHAMPIONS LEAGUE KWA MARA YA !!
Real Madrid imetawazwa mabingwa wa Champions League baada ya kuitungua kwa Penati 5-3 timu ya Atletico Madrid
View ArticleSERIKALI KUPIGA MARUFUKU MIFUKO YA PLASTIK NA POMBE ZA VIROBA
Mifuko ya plastiki inayofungasha pombe maarufu kama ‘viroba’ imepigwa marufuku na Serikali kuanzia mwakani. Sambamba na hilo Serikali pia, imepiga marufuku moja kwa moja utengenezaji, usambazaji,...
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI
Mhe.Jaji Shaaban Ali Lila (Jaji Mahakama ya Rufani)Mhe Mama Anna Makinda (NHIF)Mhe Prof Apollinaria Elikana Pereka (DIT)
View ArticleMWALIMU NYERERE KATIKA USAFIRI WA UNYENYEKEVU
Hapa kwetu Tanzania Julius Nyerere ni mfano wa viongozi walioishi maisha ya kadiri. Mwalimu aliishi kama alivyohubiri. Ni mfano wa kuigwa.
View ArticleWANAFUNZI WA CHUO KIKUU DAR-UDSM WAFANYA MGOMO
Wakati ambapo Wanafunzi wanaosomea kozi ya Ualimu wa Sayansi katika Chuo Kikuu cha Dodoma kuamriwa waondoke Chuoni hapo, leo baadhi ya wanafunzi wa UDSM wamefanya mgomo kudai fedhha za...
View ArticleCHUO KIKUU DAR ES SALAAM KUPATA MAKTABA MPYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandala, Balozi...
View ArticleKATUNI YA LEO KUHUSU "WASANII FULANI"
Hivi karibuni gazeti moja la udaku liliwachora mastaa wa kike wenye uhusiano na mastaa wa Bongo wanaowazidi umri. Mastaa hao ni pamoja na Jacqueline Wolper aliyechorwa akimnywesha uji mpenzi wa...
View ArticleUBUNIFU KATIKA BIASHARA
Mpangilio wa bidhaa katika eneo la biashara ni kivutio kikubwa kwa wateja/wanunuzi. Nawashauri wafanyabiashara mbalimbali kuwa wabunifu
View ArticleLIJUE "DARAJA LA MUNGU" LILILOPO RUNGWE MKOANI MBEYA
Daraja hili lililopo nje kidogo ya Tukuyu Wilayani Runwe huko Mbeya ni moja ya maajabu ya Mungu. Historia ya watu wa maeneo hayo yasema kuwa hapo mwanzo hakukuwa na daraja sehemu hiyo na hivyo walikuwa...
View ArticleR.I.P MOHAMMED ALI
Usiku wa kuamkia leo ulimwengu umefikiwa na habari za kifo cha mwanamasumbwi mahiri kupata kutokea hapa duniani, ni Muhammad Ali.Muhammad Ali, atakumbukwa kama shujaa wa wanyonge wa dunia. Alikuwa...
View ArticleMAENDELEO YA MAKAZI AFRIKA; NIGERIA KUJENGA DUBAI YAO JIJINI ABUJA
Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula yupo nchini Nigeria kuhudhuria kikao cha Mkutano Mkuu wa 35 wa Shelter Afrique Jijini Abuja. Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyeji wa...
View ArticleRAIS MAGUFULI AHUDHURIA IBADA KANISA LA MZEE WA UPAKO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo wakati akiagana na Mchungaji Anthony Lusekelo‘Mzee wa Upako’ katika kanisa lake la Maombezi lililopo Ubungo Kibangu...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ ACHANGIA MADAWATI 600 JIJINI DAR ES SALAAM
Kundi la WCB Wasafi wakiongozwa na Rais wa kundi hilo, Mwanamuziki Diamond Platnumz wakiwasili katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa ajili ya tukio hilo la kutoa machango wa...
View ArticleBAADA YA MAUAJI YA KIKATILI MWANZA NA TANGA; VIKOSI VYAINGIA MASKANI KUSAKA...
Watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi,wameuawa katika majibizano ya risasi na askari polisi mkoani Mwanza,alfajiri ya kuamkia jana jumapili katika mapango ya mlima wa Utemini yaliyopo kata ya...
View Article