TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC: WAMETUMIA NA KINGINE WAMESAZA WAMKABIDHI RAIS...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekabidhi shilingi Bilioni 12 kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, zilizobaki baada ya uchaguzi mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais...
View ArticleDODOSA YA MAGAZETI KUHUSU BAJETI YA 2016/2017
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Mipango akiwa amenyanyua Mkoba ulokuwa na makabrasha ya Bajeti
View ArticleMCHEZAJI WA NBA HASHIM THABEET AFANYA MAONGEZI NA MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mchezaji wa kikapu wa kulipwa nchiniMarekani, Mtanzania Hashim Thabeet, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu wa...
View ArticlePROFESA LIPUMBA ATENGUA UAMUZI NA KUAMUA KUOMBA KURUDI KATIKA NAFASI YAKE CUF
HATIMAYE Prof. Ibrahim Lipumba, aliyekuwa Mwenyekti wa Chama cha Wananchi (CUF) ametangaza kurejea kwenye nafasi yake ya uenyekiti-taifa wa chama hicho.Amesema, anarejea kwenye nafasi hiyo baada ya...
View ArticleMHE PROFESA LIPUMBA BADO HAKIJAELEWEKA KUHUSU KURUDI CUF
Wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akitengua uamuzi wake wa kung’atuka kwenye wadhifa huo na kuomba kurejea, viongozi wa juu wa chama hicho wamepinga hatua hiyo wakisema katiba...
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI AFUTARISHA
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14,...
View ArticleMTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO
Wakati tukijionea matukio mbalimbali ya utovu wa nidhamu,umaskini na uvunjifu wa amani katika jamii,ni dhahiri msemo huu wajidhihirisha. Mtoto akilelewa vizuri,hukua vizuri katika nyanja zote za...
View ArticleBARUA YA WAZI KWA MHE FREEMAN MBOWE (CHADEMA/UKAWA)
Na Thadei Ole Mushi.Kama ni mfuatiliaji wa siasa za Tanzania mbinu ya wapinzania kutoka njee ya bunge kwa sababu mbali mbali haikuanza leo. Na tangu wameaanza kuitumia mbinu hii haijawahi kuwasaidia au...
View Article