NAULI ZA MABASI YAENDAYO KASI SASA WAWEZA KUTUMIA PLASTIK CARD
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MaxMalipo ambao wameingia ubia na Udart katika matumizi ya kadi hizo, Mhandisi Juma Rajabu (kulia), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Ofisa Habari UDART, Deus...
View ArticleBUNGENI DODOMA: WABUNGE UPINZANI WATOA KALI
Wabunge wa Vyama vya Upinzani vinavyounda Ukawa, leo wametoka tena Bungeni kama walivyoazimia kukacha vikao vyote vinavyoongozwa na Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, lakini wamekuwa na mtindo wa aina...
View ArticleTRUUMP ANUSURIKA KIFO
Mwanamume mmoja raia wa Uingereza Michael Sandford anayetuhumiwa kwa kupora bunduki ya afisa mmoja wa polisi katika mkutano wa kisaiasa wa Donald Trump, amewaambia wapelelezi wa Marekani kuwa, alitaka...
View ArticleWABUNGE WA CCM NA UKAWA SASA KUCHUNIANA
Sakata la wabunge wa Ukawa kususa vikao vya Bunge vinavyoongozwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson limefika pabaya baada ya baadhi ya wawakilishi hao kuanza kutowasalimia baadhi ya wabunge wa CCM.Hatua...
View ArticleDK REGNALD MENGI ATOA MILIONI 70 KUCHANGIA MADAWATI
Mkurugenzi wa IIP Mdia Group Mhe.Dk Regnald Mengi ametoa mchango wa TZS Milioni 70 kusaidia ununuzi wa madawati katika shule za Wilaya ya Handeni na Bagamoyo
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI ATEUA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA PIA AFANYA MABADILIKO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139.Katibu Mkuu Kiongozi...
View ArticleMHE RC MAKONDA AWAJIBU GAZETI NIPASHE
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda awajibu Gazeti la Nipase baada ya kumwandika Katika gaeti la Jana Jumapili June 27, 2016... 'Misifa ya Makonda kuwaponza wakongwe, wengi presha...
View ArticleMHE WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MWIGULU NCHEMBAAKABIDHIWA OFISI NA MHE KITWANGA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kushoto) akipokea taarifa ya makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Charles Kitwanga kwenye ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya...
View ArticleJELA MIAKA 30: KUMPA MIMBA,KUOA AU KUOLEWA NA MWANAFUNZI
BUNGE limepitisha kwa kauli moja Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Namba 2 ya mwaka 2016 ambayo pamoja na mambo mengine, imeongeza adhabu kwa watu wanaowapa mimba au kuoa ama kuolewa na...
View ArticleSHOGA ALIVYOTIKISA CLOUDS FM MAHOJIANO TAKE ONE
Shoga maarufu kwa jina la KAOGEMashoga wanaongezeka kwa kua waaribifu ni wengi na wengi ni watu wazito. Shoga anatamani kuzaa anataka kupandikiza na yupo kwenye harakati za kubeba mimba Alikua anaitwa...
View ArticleUSALAMA KUIMARISHWA VITUO VYA MABASI YAENDAYO KASI (DART)
Benjamin Sawe Maelezo—————————–Baadhi ya abiria wanaotumia usafiri wa mabasi yaendayo kasi maarufu kama mwendo kasi wameilalamikia kampuni hiyo kwa kushindwa kudhibiti vitendo vya wizi vinavyoendelea...
View ArticleMHE WAZIRI MKUU AHAIRISHA VIKAO VYA BUNGE LA BAJETI
Waziri Mkuu mhe.Kassim Majaliwa akitoa hoja ya kuhairisha Kikao cha Bunge huko Dodoma leo.
View ArticleURENO/PORTUGAL YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA UEFA EUROPE 2016
Baada ya kutoka sare ya Ureno 1 kwa Poland 1 hata baada ya kuongezewa dakika 30, ikabidi zipigwe Penati na ndipo Ureno kupitia mchezaji wake Quaresma akafunga penati ya tano na ushindi Portugal 5...
View ArticleMHE RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA AWASILI NCHINI KUFUNGUA MAONYESHO YA SABASABA
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Rwanda,Paul Kagame amewasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo na Kupokelewa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Joseph Pombe...
View Article