Mkurugenzi wa IIP Mdia Group Mhe.Dk Regnald Mengi ametoa mchango wa TZS Milioni 70 kusaidia ununuzi wa madawati katika shule za Wilaya ya Handeni na Bagamoyo
↧