$ 0 0 Barabara hii ilitengw akwa ajili ya haya mabasi ya Mradi wa Mabasi yaendayo kasi, lakini wananchi wengine bado wamekuwa wakaidi kutii amri ya kutotumia barabara hii kama wanavyoonekana katika picha