$ 0 0 Kila ukiangalia clips zake,dada huyu anaonyesha uwezo mkubwa wa kukufanya ufurahi. Fuatilia clips zake za video upate kuona kipaji cha mungu katika huyu Dada namba moja Tanzania kwa Comedy