GAZETI LA MSETO LAFUNGIWA MIAKA 3 KWA KUKIUKA MAADILI YA UANDISHI
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu kulifungia gazeti la Mseto kwa miezi 36 leo Agosti 11,2016 katika ukumbi wa Wizara hiyo...
View ArticleWASANII DIAMOND PLATNUMZ NA ALI KIBA WATOA MSAADA GSM FOUNDATION
Mie binafsi nawapongeza wasanii wa muziki, Diamond Platnumz na AliKiba kwa kutoa msaada wa tsh 41milioni kwa ‘GSM Foundation’ ili kusaidia jitihada za taasisi hiyo za upasuaji wa watoto wenye vichwa...
View ArticleMWENYEKITI MPYA WA CCM TAIFA MHE DKT MAGUFULI APOKELEWA DAR KWA SHANGWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ndio mwenyekiti mpya wa CCM baada ya uchaguzi ulofanyika mwishoni Julai huko Dodoma, amerudi Dar na kupokelewa kwa shangwe katika Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleMJUE KATARINA WA KARATU: DADA MWENYE KIPAJI CHA UCHEKESHAJI
Kila ukiangalia clips zake,dada huyu anaonyesha uwezo mkubwa wa kukufanya ufurahi. Fuatilia clips zake za video upate kuona kipaji cha mungu katika huyu Dada namba moja Tanzania kwa Comedy
View ArticleDJ MAARUFU KIJIJINI KWETU
Nyota njema huonekana asubuhi. Hawa wakiendelezwa watakuwa wasanii wazuri sana baadae maana kipaji hicho kipo damuni
View ArticleTANZIA: RAIS WA ZAMANI WA ZANZIBAR ABOUD JUMBE MWINYI AFARIKI DUNIA
ALIYEKUWA rais wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kati ya tarehe 7 Aprili 1972 hadi 30 Januari 1984, Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia mchana wa leo nyumbani kwake Kigamboni, jijini Dar es...
View ArticleMASANJA MKANDAMIZAJI AUKACHA UKAPERA
Hapo jana Jumapili 14 Agosti,2016 Mchekeshaji maarufu na Mchungaji Msaidizi Emanuel Mgaya au maarufu kwa jina la Masanja Mkandamizaji alifunga ndoa na mpenzi wake. Tunawaombea wote maisha mema ya Ndoa
View ArticleUSAIN BOLT BADO ATETEA NAFASI YAKE YA UBINGWA MARATHON
Mwanariadha Usain BOLT raia wa Jamaica ameendelea kutetea nafasi yake ya mkimbiaji bora duniani kwa jana kukimbia mita 100 kwa sekunde 9.81 na kujinyakulia medali ya dhahabu ktk mashindano ya Olympics...
View ArticleMHE RC MAKONDA: BAKWATA KUPATA JENGO JIPYA LA MAKAO MAKUU YAO
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi ramani ya jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), ikiwa ni ahadi ya kuwajengea jengo hilo.Akizungumza wakati...
View ArticleORIGINO KOMEDI MATATANI KWA KUVAA SARE ZINAZOFANANA NA ZA POLISI HARUSI YA...
Katika siku za hivi karibuni, kumejitokeza tabia kwa baadhi ya watu wakiwemo wasanii watu wengine mmoja mmoja kutumia mavazi yanayofanana na sare za Majeshi ya Ulinzi na usalama hapa nchini likiwemo...
View ArticleKIONGOZI MAARUFU DUNIANI: BABA WA MFANO
Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama alipomtembelea binti yake wa kike Sasha eneo anakofanya kazi na kuamua kumsadia kazi
View ArticleJE WAJUA: WALIOWAHI KUJARIBU KUSHIKA SHARUBU ZA SIMBA ("Mwl Nyerere") NA...
1. Idd Amini – Alipoivamia Tz. Mwalimu alitamka tutampiga nduli!. Na kweli Idd Amini alipigwa hadi akaikimbia Uganda.2. Kolimba – Alipotamka CCM imepoteza Dira na Mwelekeo. Mwalimu alimwita Dodoma...
View ArticleMKUU MPYA WA MKOA WA ARUSHA AAPISHWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na...
View ArticleTIMU YA TAIFA SOKA WANAWAKE UJERUMANI YATWAA MEDALI ZA OLYMPICS HUKO BRAZIL
Timu ya soka wanawake ya Ujerumani ilitinga fainali na kucheza na Sweden hapo jana usiku saa za Afrika Mashariki katika uwanja wa Maraccana huko Rio Brazil. Timu hiyo ilishinda kwa magoli 2 kwa 1 na...
View ArticleSIMBA SPORTS CLUB WAZINDUA UJENZI WA UWANJA WA KLABU YAO HUKO BUNJU B DAR ES...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali akizindua ujenzi wa Uwanja huo huko Bunju B nje kidogo ya Jiji la Dar
View ArticleBRAZIL YAITOA UJERUMANI KWA PENATI KATIKA FAINALI ZA OLYMPICS HUKO RIO
Timu ya Taifa ya Soka Olympics 2016 ya Brazili imeshinda Medali za Dhahabu baada ya kuitoa Ujerumani kwa Penati. Timu hizo ambazo zilimaliza muda wa kawaida kwa droo ya 1 - 1 iliongezewa dakika 30 na...
View Article