MSANII JOKATE MWEGELO AWAJENGEA UWANJA WA KIKAPU NA PETE SHULE YA WASICHANA...
Uwanja huo ambao umejengwa kwa gharama ya sh.Milioni 50 kupitia Kampeni ya "Be Kidotified" ya Kampuni ya Kidoti, ulikabidhiwa shuleni hapo na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Sophia MjemaMrembo Jokate...
View ArticleHATA KAMA HALI YA KIMAZINGIRA NI NGUMU,USIKATE TAMAA
Usichoke mdogo wangu , japo hali ni ngumu lakini kwa uweza wa aliye juu ipo siku utang'ara kama dhahabu, Mungu akutangulie katika mapambano ya maisha.
View ArticleBEI ZA MAFUTA YA PETROLI DIZELI NA TAA ZAPANDA
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei ya mafuta kuanzia leo kutokana na mabadiliko ya bei katika Soko la Dunia.Bei hizo za jumla na rejareja kwa mafuta ya...
View ArticleWAENDESHA BODABODA WASOVAA HELMET FAINI 300,000 TZS
Kamanda wa Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Awadhi Haji anasema wameshatoa elimu ya kutosha kwa waendesha pikipiki ili wahakikishe wanavaa kofia...
View ArticleKATUNI: KITUMBUA KIMEINGIA MCHANGA
Katika maisha ya mahusiano ya mke na mume au hata ya wapenzi wanaotarajia kufunga ndoa, UKWELI na UAMINIFU ni nguzo muhimu sana.Ila wengine wamefikia kudharau Ndoa na mapenzi ya kweli hadi kwenye...
View ArticleZANZIBAR YAPOKEA MADAWATI 5,500 KUTOKA TANZANIA BARA
wafanyakazi wa Bandarini Zanzibar wakishusha madawati yaliyotolewa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya wanafunzi wa shule huko ZanzibarViongozi wa pande mbili za Muungano wakipeana...
View Article"HEPI BETHDEI" TIFFAH WA DIAMOND
Katika kuadhimisha 1 Year Birthday ya binti yake, Diamond Platnumz aandika haya:"My @princess_tiffah You are certainly the most beautiful gift that i have received in my lifetime....This day is very...
View ArticleMWANAMKE WA SHOKA "Joyce Kiria" ASEMAVYO
Mume wangu ni kiongozi...anayotaka kushiriki kuyafanya hayata-athiri tuu familia yake Bali hata Taifa letu... Mimi ni mdau wa maendeleo ya Wanawake na Watoto, sitakiwi kuongea nae haya mambo...
View ArticleNENO KUTOKA KWA BABA KWENDA KWA MWANAE WA KIUME KUHUSU NDOA
MWANANGU.1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali...
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI ATEMBELLEAMISIKITI NA MAKANISA HUKO CHATO
Shekhe wa Bakwata Wilaya ya Chato Hassan Issa Mnubi akiongoza dua ya Kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli nje ya Msikiti wa...
View ArticleCHADEMA NA POLISI NGANGARI HUKO CHALINZE
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefuta mkutano wa hadhara wa Chadema uliopangwa kufanyika katika Uwanja wa Miembe Saba mjini Chalinze.Mkutano huo uliokuwa ufanyike jana, ulikuwa uhutubiwe na Waziri...
View ArticleWAZIRI WA UJENZI;UCHUKUZI NA MAWASILIANO AZINDUA TRENI YA PILI YA ABIRIA...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa amezindua treni ya pili ya abiria jijini Dar es Salaam, inayofanya safari zake kuanzia kituo kikuu cha stesheni hadi Pugu.Akizungumza...
View ArticleTAMBUA NAFASI YA ALLAH/MOLA/MWENYEZI MUNGU KATIKA MAISHA YAKO
Unapokuwa unamaliza visigino kwa safari za umbea au kila kukicha ni wewe kufunga safari kwenda kutenda yanayomchukiza aliyekuumba,kumbuka kuna wengine hawana hiyo miguu au ni vilema na wanajitahidi...
View Article