DALILI ZA KUANZA UJENZI WA RELI YA KATI KISASA WAANZA KUONEKANA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servaciaus Likwelile akitiliana saini na Naibu Meneja Mikopo Nafuu wa Benki ya Exim ya China Bw. Zhu Ying kuhusu makubaliano ya awali ya ujenzi wa reli ya...
View ArticleSAFU YA MAKOCHA MAARUFU KUINOGESHA LIGI KUU YA UINGEREZA
Makocha hao ni pamoja na Klopp (Liverpool)-Guardiola (Man City)-Mourinho (Man United)-Wenger (Arsenal)-Conte (Chelsea)
View ArticleSHAMBULIO ENEO LA MADUKA (SHOPPING CENTRE) HUKO MUNICH GERMANY
Habari zinazoendelea mpaka muda huu ni kuwa limetokea shambulio katika eneo la Olympia Shopping Centre huko Munich kusini mwa Ujerumani. Inasadikiwa watu wengi wameuawa na wengi kuumia. Tayari Polisi,...
View Article"KIBEGA": NI MAPEMA SANA
Kutokana na hali ngumu ya maisha ya jamii nyingi nchini, watoto wengi wamejikuta wakilazimika kufanya kazi ambazo hawastahili katika umri huo. Ni jukumu la viongozi,wazazi na jamii kwa ujumla kuangalia...
View ArticleMHE DKT JOHN MAGUFULI ATANGAZWA RASMI MWENYEKITI MPYA WA CCM TAIFA
Mwenyekiti aliyemaliza Muda wake Dkt Jakaya Kikwete pamoja na Mwenyekiti mpya wa chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli wakiwapungia mkono Wajumbe wa mkutano Mkuu Maalum mara baada ya...
View ArticleMWIGIZAJI WA BONGO MOVIES JACKLINE WOLPER ARUDI CCM
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi jana.Wolper alikaribishwa na mwenyekiti...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MASHUJAA YAFANYIKA DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasihi watanzania kuwaenzi Mashujaa kwa kudumisha Amani, Umoja na Utulivu uliojengwa na mashujaa hao.Rais Magufuli ametoa rai hiyo...
View ArticleMAISHA YA UTOTO RAHA; NO STRESS
Kuwakuta watoto katika hali kama hizi hasa maeneo ya vijiji asilia ni jambo la kawaida na kama ulitokea sehemu kama hizo na hukupitia hatua hizi basi kuna kitu ulimiss.
View ArticleTAZAMA HII KALI KUTOKA ZANZIBAR
Kwenye mnada wa samaki huko Pemba Bwana mmoja alifika 70,000/ kwa tenga. Akatokea mwakilishi (ccm) akatamka kutoa 140,000/- Cha ajabu yule mchuuzi akampa aliyefikia elfu 70,000/Mwakilishi alipouliza...
View ArticleUSOMPENDA KAJA
MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kahama, James Lembeli, ameibukia katika mkutano wa Rais, Dk. John Magufuli, huku akimwomba kiongozi huyo kuhakikisha anakisafisha Chama Cha Mapinduzi (CCM).Lembeli ambaye...
View ArticleMHE WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA SABASABA HUKO MOROGORO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva wakati alipotembelea Banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Monyesho ya Wakulima Nane mjini...
View ArticleONLY IN TANZANIA: MWANANCHI AMTUZA MHE RAIS MAGUFULI SH.1,000
Wananchi wa Igunga Mkoani Tabora walilipuka kwa furaha na mzee huyu akatoa noti ya shilingi 10,000/- akitaka kumtuza Rais Dkt Magufuli kwa kuweza kutatua changamoto za stendi ya mabasi ya abiria na...
View Article