$ 0 0 Unapokuwa unamaliza visigino kwa safari za umbea au kila kukicha ni wewe kufunga safari kwenda kutenda yanayomchukiza aliyekuumba,kumbuka kuna wengine hawana hiyo miguu au ni vilema na wanajitahidi kumtukuza muumba wao