$ 0 0 Hapo jana Jumapili 14 Agosti,2016 Mchekeshaji maarufu na Mchungaji Msaidizi Emanuel Mgaya au maarufu kwa jina la Masanja Mkandamizaji alifunga ndoa na mpenzi wake. Tunawaombea wote maisha mema ya Ndoa