CHADEMA: OPERESHENI UKUTA IPO PALE PALE SEPTEMBA MOSI
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea kushikilia msimamo wa kuendeleza operesheni UKUTA Septemba mosi mwaka huu.Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, alisema kwenye Baraza la Mashauriano la...
View ArticleMASHINDANO YA OLIMPIKI RIO 2016 YAMALIZIKA HUKO BRAZIL
Rio imemaliza michuano ya Olimpiki kwa shamrashamra za aina yake, licha ya mvua kuwanyeshea maelfu wanamichezo pamoja na watazamaji waliofika kushuhudia michezo hiyo kutoka maeneo mbalimbali...
View ArticleTSHIRTS ZA KUHAMASISHA "UKUTA" ZAKAMATWA JIJINI DAR
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejiandaa kudhibiti maandamano ya Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania (Ukuta) yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
View ArticleMHE.LOWASSA ASISITIZA "UKUTA"
Leo nimezunguka katika majimbo ya Mbeya Vijijini ,Vwawa na Tunduma nikiwaeleza kuhusu Operation UKUTA,UKUTA si fujo , UKUTA si machafuko na hatuna haja ya kufanya fujo , tunapiga kelele dhidi ya...
View ArticleUDAKU WA LEO
"Aliyekutoa mwiba wa makalio mthamini, ndiye anakupa jeuri ya kukaa kitako ukautoa mwiba wa mguuni". - Bi Hindu
View ArticleMHE LOWASSA ASHINDWA KUFANYA KIKAO HUKO MBEYA
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa leo amezuiwa na Polisi kufanya kikao cha ndani na wanachama cha chama hicho Mbarali mkoani Mbeya.Aliyekuwa Waziri...
View ArticleWAPI TUNAELEKEA?: ASKARI POLISI WAUAWA NA MAJAMBAZI WAKIWA KATIKA LINDO CRDB...
Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa jumla ya askari wake wanne wameuawa usiku wa kuamkia leo baada ya majambazi kuvamia tawi la benki ya CRDB lililopo Mbande, wilayani Temeke, Dar es Salaam.Akizungumza...
View ArticleCHEKA NA WAGENI
Wageni wa siku hizi wazuri, sio wasumbufu kama wa zamani. Wakifika kwako hawaulizi chai ya rangi, juice wala soda, bali utasikia, "UNA CHARGER YA PIN NDOGO?"
View ArticleHONGERA DIAMOND KWA KUITANGAZA TANZANIA
Endelea kuwaambia popote uendapo "Wanakaribishwa Tanzania"Diamond Platnumz alipowasili nchini Kenya jana
View ArticleJUBILEI YA NDOA YA MHE MZEE MKAPA YAWAKUTANISHA MHE RAIS MAGUFULI NA MHE LOWASSA
Rais Magufuli amesema anashukuru hafla ya Jubilei ya Miaka 50 ya ndoa ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa kuleta muujiza wa kukutana na kupeana mkono na Waziri Mkuu wa zamani, Mhe Edward Lowassa
View ArticleVIONGOZI WA CHADEMA WASHINDWA KUFANYA KIKAO CHAO LEO
Viongozi wa Chadema wamekamatwa na polisi na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.Akizungumzia kukamatwa kwa viongozi hao Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu...
View ArticleMHE AUGUSTINE MREMA AWAOMBEA KAZI MATEJA
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Palore nchini, Dkt. Augustino Lyatonga Mrema, amemwomba Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuongeza maeneo ya kutoa tiba ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya.Sambamba...
View ArticleNDEGE ZILIZONUNULIWA NA TANZANIA HUKO CANADA KUWASILI NCHINI MUDA WOWOTE...
Hii ndio moja ya ndege mpya ya Air Tanzania iliyo tayari kwa kila kitu.Hapa ipo kwenye Hangar(eneo la matengenezo ya ndege) nchini Canada tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania.Wakati wowote na siku...
View ArticleBw.GERSON MSIGWA ATHIBITISHWA NA RAIS MAGUFULI KUWA MKURUGENZI WA MAWASILIANO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemthibitisha Bw. Gerson Partinus Msigwa kuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais, (Director of Presidential Communication -...
View ArticleCHADEMA WASITISHA MAANDAMANO YA UKUTA
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo,Freeman Mbowe ametangaza kusitishwa kwa maandamano ya Oparesheni UKUTA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika kesho nchi nzima hadi tarehe moja...
View Article