$ 0 0 Rais Magufuli amesema anashukuru hafla ya Jubilei ya Miaka 50 ya ndoa ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa kuleta muujiza wa kukutana na kupeana mkono na Waziri Mkuu wa zamani, Mhe Edward Lowassa