$ 0 0 Wageni wa siku hizi wazuri, sio wasumbufu kama wa zamani. Wakifika kwako hawaulizi chai ya rangi, juice wala soda, bali utasikia, "UNA CHARGER YA PIN NDOGO?"