KUPATWA KWA JUA Tar 1.9.2016
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe.Amos Makalla na viongozi wengine wakiangalia kupatwa kwa jua huko Rujewa, MbeyaWakati leo watu mbalimbali duniani walikuwa wakishuhudia kupatwa kwa jua, kwa huyu nadhani ni...
View ArticleSERIKALI YAWAZA KUBADILI FEDHA/NOTI ZAKE ILI KUWABANA MAFISADI WANAOFICHA HELA
Katika kile kinachoonekana kutaka kuwadhibiti watu wanaodaiwa kuficha fedha,Mhe. Rais John Magufuli amesema kwa mamlaka aliyonayo anaweza kuamua kubadili fedha ili zile zinazofichwa na watu hao wakose...
View ArticleMHE RAIS JOHN MAGUFULI ZIARANI PEMBA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Asubuhi ya leo tarehe 02 Septemba, 2016 amewasili Kisiwani Pemba ambapo majira ya Alasiri anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Pemba...
View ArticleUDAKU ZONE: HATIMAE SHAMSA FORD AFUNGA NDOA NA CHIDI MAPENZI
STAA wa Bongo filamu nchini, Shamsa Ford amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni mfanyabiashara wa maduka ya nguo.Sherehe za ndoa hiyo zilifanyika nyumbani kwa wazazi wa Shamsa eneo la...
View ArticleMAMA TERESA WA CALCUTA ATANGAZWA MTAKATIFU
Leo Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wake Mkuu duniani Baba Mtakatifu Francis 1 amemtangaza Mama Teresa wa Calcuta raia wa Albania kuwa MTAKATIFU. Raia huyo wa Albania ambaye alifariki mwaka wa 1997...
View ArticleMFANO HAI WA "HAPA KAZI TU"
imekuwa ni tabia siku hizi kukuta watu wengi wenye nguvu, wa kike kwa wa kiume kuwakuta wamekaa vijiweni au maeneo mengine wakipiga story muda ambao walipaswa wawe wanajishughulisha na kazi za kuwapa...
View ArticleWANAFUNZI WA DARASA LA SABA WAFANYA MITIHANI YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI NCHINI
Leo Wanafunzi wa Darasa la saba pote nchini wameanza kufanya mitihani yao ya kuhitimu Shule ya Msingi. Tunawatakia mafanikio mema na ufaulu mzuri wa mitihani hiyo.
View ArticleHII NDIO "MBEGE"; ASILI YAKE KILIMANJARO
Mbege ni kinywaji asilia cha wakazi wa Mkoa wa Kilimanjaro. Ni kinywaji chenye kilevi na hivyo chatumiwa tu na watu wanaozidi umri wa miaka 18. Katika kunywa kinywaji hiki, wakazi hawa kiasilia hutumia...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA HOTEL YA NYOTA 5 YA RAMADA...
Makamu wa Rais Mhe.Mama Samia Suluhu, leo amezindua hoteli nzuri na maarufu ya Nyota 5 iitwayo Ramada Encore Jijini Dar. Katika uzinduzi huo alikuwepo pia Mkurugenzi Mtendaji wa hoteli hiyo Mhe.Abdul...
View Article"SINA MPANGO WA KUHAMA CHAMA"-PROFESA LIPUMBA
Profesa Ibrahim Lipumba aliyekuwa mwenyekiti wa CUF, amesema hana mpango wa kuhamia chama chochote pia hana mpango wa kuanzisha chama chake.Profesa Lipumba amesema hayo katika kipindi cha...
View ArticleTERMINAL 3 J.K NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT KATIKA PICHA
Muonekano wa ndani wa jengo jipya la Abiria la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, jijini Dar es salaam ambalo bado linaendelea na Ujenzi.
View ArticleWAISLAM ZAIDI YA MILIONI MOJA NA NUSU WAANZA IBADA YA HIJJA HUKO SAUDI ARABIA
Ibada ya Hijja ya kila mwaka inayotekelezwa na Waislamu imeanza Jumamosi (10.09.2016) nchini Saudi Arabia huku hatua kali za kiusalama zikiwa zimeimarishwa kwa takriban mahujaji milioni 1.5...
View Article